Kwa mwendo huu wa Mnyama ni wazi Ndoo la Mapinduzi linaelekea kutua Msimbazi! Na hiki ndicho kilichowaogopesha Yanga na kuchagua option pekee ni kukwepa janga lingine linaloweza kutokea ndani ya...
Sikumbuki Mwaka labda Baadhi ya Wachezaji na hicho kitoto nadhani ni cha Marehemu Gulamali kama Sikosei oi Bukta kama Chupi.... lol
Cheupe Kule Kushoto ni Kenneth Mkapa Wachezaji wa Zamani...
Jaman nipo hapa naangalia mechi ngumu na tamu kati ya newcastle na man city,supersport commentators wameshindwa kuwafikiana kulingana na sheria flan inayowiana na that incidence kurekebishwa 2012...
Hivi Dr Mwakyembe ulikuwepo airport wakat Yanga inaenda Uturuk?kwa nin hukupenda kwenda kuwaaga wachezaji wetu? Nimekumbuka mbal sana miaka ile pia akina A. Gulamal wakisafirisha team kwenda nchi...
Young Africans imeanza vizuri katika kambi yake ya mafunzo nchini Uturuki baada ya kuifunga timu ya Ankara Sekerspor kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika pembeni kidogo ya eneo...
Cristiano Ronaldo, Ribery na Lionel Messi ndio wamebaki katika list ya wachezaji 23 waliokuwa wamechaguliwa kugombea. Mchezaji bora atatangazwa 13 Jan 2014.
Utabiri wangu ni Cristiano Ronaldo...
Katika mashindano ya Mapinduzi Cup ya mwaka huu nimeshangazwa na timu ngeni za Spice na Clove United. Haya ni majina ya timu kombaini ya visiwa vya Unguja na Pemba kila kimoja, je ZFA wangeziita...
Wana JF!
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mtoto wa Boniface Njohole ni kuwa Boni amefariki leo kutokana na maradhi ya figo.
Marehemu alikuwa Moshi kwa matibabu kabla ya kurudishwa kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.