yusuph manji wa yanga ameyasema hayo jana baada yakudumu katika ngazi tofauti tofauti za uongozi ndani ya yanga kwa muda unakadiriwa miaka tisa
Nimeamua kuachia ngazi kupisha na wengine wagombe...
Asiyekubali hili hajui soka kwamba mchezo sio dakika 90 tu huwa unachezwa kabla ya hapo. Imekuwa tabia ya CECAFA nchi inayoandaa bonanza lake kuwa bingwa na hivi sasa Kenya atachukua ndoo hiyo...
Chama cha Soka cha Uturuki kimewaita wachezaii wawili wa Ivory Coast, Didier Drogba and Emmanuel Eboue ili kuwaadhibu kutokana na kutenda kosa la kuvaa na kuonyesha uwanjani nguo zinazomkumbuka na...
Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni...
Tangu jana wapenzi wa mpira tulijua mechi hii inachezwa saa nane kamili. Mpaka sasa hatuoni kinachoendelea. Utachezwa muda gani? Mnisaidie ndugu zangu.
Hapa chini ni kocha mpya wa Simba akikagua uwanja wa mazoezi unaotumiwa na timu hiyo.
Na hizi picha hapa chini ni vijana wa Yanga wakiwa mazoezini.
Chini ni kocha mpya wa Azam akiwa...
Kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu, TFF imeweka kanuni ya kila timu shiriki kuwa na ukomo wa wachezaji watatu tu wa kigeni. Lengo ni kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazalendo na kuwasaidia kuinua...
MANDELA vs MAN UNITED
Mandela alikaa jela miaka 26
Man u alikaa miaka 26 bila kombe la ligi
Mwaka 1990 Mandela anakua huru
Mwaka huo huo man akachukua fa cup na hilo lilikua kombe lake la kwanza...
Nimeshangazwa na kitendo wanachafanya Wakenya uwanjani, wamemshangilia sana Mapunda.
Cha ajabu hata wachezaji wa Kenya waliokuwa wakijitayarisha na mechi yao dhidi ya Rwanda walikwenda...
"Hatimaye Prezzo amepata kitu kinachomfaa. Ni ukweli uliowazi kuwa hawezi kuimba. Yeye ni mwanamitindo na muigizaji hivyo tumwache ajaribu hili na mwisho atengeneze hela yake mwenyewe ambazo...
Hivi tunajifunza namna ya kumheshimu kocha?
Kibadeni,Julio ,Basena na wengineo wengi
walipewa nafasi kama anayopewa David Moyes?
au hatujifunzi kitu hapo?
Yakubali kipigo kingine cha 1-0 toka kwa Newcastle United.Ni bao la dakika ya 61 ya mchezo uliochezwa Old Trafford. Limefungwa na Yohan Cabaye,kiungo mfaransa aliyeitesa vilivyo Man U leo...
A violent brawl broke out between rival fans
Continue reading the main storyRelated Stories
Violence at Brazil football matchWatch
2014 Fifa World Cup draw & fixtures
The Brazilian football...
Waandishi wa habari kila Juma Kaseja anapokuwa hayumo timu ya taifa hawa hulazimisha kocha amchague kwa kumuuliza maswali ambayo hayaendani na kipindi husika. Sasa naomba waandishi watueleze kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.