Dar es Salaam: Bia ya Kilimanjaro Premium Lager imeleta msisimko mpya katika utani wa jadi kati ya mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kupitia kampeni yake mpya ijulikanayo kama NANI MTANI...
#‎NaniMtaniJembe‬
Matokeo mpaka kufikia leo saa 6 mchana ni:
Yanga SC TZS 93,562,500
Simba SC TZS 6,437,500
Bado siku 4 kufikia tamati ya shindano ya hili ambapo Disemba 21...
Lile sakata la mwenyekiti wa simba na pesa za mchezaji okwi limeendelea na jana nimeipenda
kauli ya mh rage kwamba nikoona amani inatoweka simba basi nitaitisha mkutano wachague
viongozi...
Kwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!
Mashabiki Wa Watoto...
mwenyekiti wa simba Ismaili Aden rage anadai wanao mtuhumu kama amechukua fedha za mauzo ya okw wapeleke ushahid,kama ikidhibitika ni kweli anajiuzuru ubunge.
Mm binafsi naona hapo amepepesa...
Imebainika kuwa Okwi yuko Yanga kwa mkopo kutoka E. Du Sahel na sio kwamba amesaini kandarasi kama mchezaji halali wa Yanga.
Inaelezwa kuwa viongozi wa Yanga walimuomba kwa mkopo Okwi then E.Du...
UEFA....25 Feb 2014 (22:45)- Olympiakos Vs Manchester United ( Karaiskaki Stadium, Athens), 19 March 2014 (22:45)- Manchester United Vs Olympiakos ( Old Trafford).......match ya ligi kati ya...
Hata kama amuoni jamani
basi hata picha inayoendelea amwoni
kama simba aijamaliziwa deni iweje kaingia yanga na malipo kufanyika sc villa
haya mashabiki ongezeni akilizenu
kila l kheri
KIPA namba moja wa Tanzania, Ivo Philip Mapunda, usiku huu amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, akitokea Gor Mahia ya Kenya.
Ivo anasaini...
Dec 11, 2013 10:37:00 AM
The Kenyan Premier League (KPL)
champions have made it clear that they
will not let the Tanzania custodian
leave the club in January transfer
window
Kenya Premier...
JF Salaam,
Wanachama wa Simba Sports Club (SSC) leo jumatano
walisema watakwenda Bungeni Dodoma kumshitaki M/Kiti
wao Mh Ismail Aden Rage kwa Spika wa Bunge.
Hawa wanachama wamekwenda au bado...
Klabu ya AC Milan jana ilidhihirisha umwamba wake katika soka ya ulaya ( Klabu Bingwa barani humo) baada ya kuwa timu pekee ya Italia kusonga mbele katika hatua ya mtoano wa michuano hiyo.Milan...
Ng'ombe hazeeki maini!!kwa sasa kaka na ronaldinho wanafanya vizur kwenye club zao,yote kwa ajili ya kumshawishi scolari waitwe kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil.na big phil alisema kwamba...
Tusker beat Kenyan Premier League champions Gor Mahia 5-3 on penalties to lift the DSTV/SuperSport Cup at Nyayo Stadium on Saturday after both sides had tied 1-1 in regular time.
Solomon Nasio...
Patashika ya mashindano ya CECAFA Senior Challege Cup kwa mwaka 2013 inatarajiwa kuanza tarehe 27 ya mwezi Novemba na kumalizika 12 mwezi Desemba.
Mashindano ya mwaka huu yanatarajiwa...
Ni kama record fulani hivi ya kuibomoa Yanga kisaikorojia.
Baada ya Yanga kumnyakua kipa wa zamani wa Simba Juma K Juma,Simba wao wamewasajiri makipa wawili wa zamani wa Yanga Yaw Berko na Ivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.