Nini husababisha mashabiki wa Yanga yebo yebo kuzimia na kulia kila inapocheza na mnyama Simba? Steven shabiki uliyelia sana baada ya zile goli 5 za kipindi kile tuambie. Mwenye kujua ukweli...
kama huamini angalia liverpool wameshinda 3 wapinzani wao 1. simba 3 wapinzani wao 1 , manchester united 3 wapinzania wao 1. yanga kama wangetaka ushind leo wangeomba simba wavae rang nyingine wao...
Gazeti maarufu la michezo lina Habari nyeti kuhusu rage kuwapigia magoti YANGA wakubali kufungika ili kupunguza gadhabu ya wanachama msimbazi aka mikia ambao wanatabia ya kung'oa viti vya uwanja...
Simba leo wamenifanya nifurahi kwa kumfunga Yanga wazeew wa mpira wa magazetini.Kiburi chote leo yanga kimewaisha.
Ila msimamo wangu upo palepale kuwa nitarudi kuishabikia Simba pale Rage...
Ziliporejeshwa zile tatu wakasema walijiamini sana. Leo wamepigwa tatu moja kocha kasema walijiamini kupitiliza. Hivi nyie yanga,mnafikiri pale uwanjani mnacheza peke yenu hadi mjiamini namna hii...
Kesho ndio kesho,mtani jembe inakamilika,Simba na Yanga ndani ya uwanja wa Taifa.
Niseme wazi,mashabiki wa Yanga wanajiaminisha kwa kiasi kikubwa kuwa kesho anaenda kuibuka na ushindi mkubwa...
Star TV hongereni kwa kutuonesha mpira SIMBA NA YANGA LIVE lakini baada ya saa kufika dk 60, ikaanza moja ni aibu, tangu vijana wa graphics wamekua feki itawagharimu, ajirini wenye uwezo
Mimi sio mshabiki wa mpira wa mchangani lakini nimehudhunishwa mno na mafisadi wachache walioamua kununua tiketi zote za Tsh 5000, zinazotegemewa na makabwela, na kisha kuziuza mtaani katika soko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.