JINSI SIMBA WALIVYOMUWANGIA MAPEMA OKWI ILI KUMZIMA UWANJANI ... USHAHIDI HUU HAPA
Hapa wakifanya yao juu ya okwi ilala karume.
Jeneza waliombeba okwi kiroho.
WAKIELEKEA TAIFA, KWELI SIMBA...
My trip to Kinshasa to bury Tabu Ley - Obachi Machoka
Banners in memory of Tabu Ley durinh his funeral service held on Monday, December 9, 2013 in Kinshasa. Tabu Ley's burial date on Monday...
Top trending queries
1. Daily post
2. IEBC
3. Westgate
4. Uhuru Kenyatta
5. OLX
6. Government Human Resource in Information System (GHRIS)
7. Mutula Kilonzo
8. NTV Live...
Kenyan national football team Harambee Stars has risen eight places in the latest Fifa ranking.
According to the rankings released by the world football governing body, Fifa, on Thursday, the...
I hope this is for real. Many times we see such reports only to be denied later:-
Victor Wanyama on brink of £12.5m move from Celtic to Southampton - Telegraph
Nimemsikia msemaji wa Azam kupitia RFA kuwa:-
1. Kocha waliyemuajiri ni kutokana na uongozi wa klabu na sio mashabiki, hilo ni sawa lakini hakuna timu isiyokuwa na masabiki hata vilabu vya Simba...
Tulijadili sana kuhusu huyu kijana siku za nyuma huko na kujaribu kumshauri ajitahidi kujituma, sasa hali halisi katika timu yake ni kuwa bench kila mechi maana namba yake imechukuliwa na yoso...
Jamani mi napata Kizungumkuti kujua hili Fumbo..."Nime-google" sijaambulia kitu!! Reference za watu hapa Jamvini ni "Head-ache"..kipi ni kipi? Nani kapata pesa ndefu kati ya Simba mshindi au Yangu...
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji amesema kwamba hawakumsajili Juma Kaseja kwa ajili ya kuifunga Simba SC, bali wamemsajili awasaidie kwenye michuano ya Afrika. Manji ameyasema hayo leo...
Kama ni mfuatiliaji wa soka katika ligi mbalimbali za amerika ya kusini si suala la ajabu kumuona mchezaji akitoka uwanjani akiwa kavaa chupi pekee na hasa akiwa ama maarufu au akiwa amecheza...
nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake...
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??
Jose Mourinho plays down unbeaten record over Arsene Wenger ahead of crunch Monday night clash
Head to head: Mourinho has played down his dominant record over Wenger
WENGER VS MOURINHO RECORD
Nataka kubet kwny premier betting via mpesa.nashndwa kuweka mechi zaidi ya moja na nawapgia voda wananiweka pending tu. Is there anybody who has bet through mpesa? Nielewesheni basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.