Ibrahimovic: Men deserve more respect than women; "When I come out in Europe they compare me to (Lionel) Messi and (Cristiano) Ronaldo. When I come home they compare me to a female player."You're...
Hawa ndio wachezaji bora 100 wa dunia.....ARSENAL imetoa wachezaji wanne....CHELSEA wachezaji nane....LIVERPOOL mchezaji mmoja....MAN CITY wachezaji sita sita....MAN UTD wachezaji...
Bondia francis cheka aendeleza wimbi la kupigwa nje ya nchi, safari kwa KO raundi ya tatu. Kimsingi sijui tatizo ni nini? mana hata ukiangalia pambano lenyewe, anaonekana kuzidiwa kupita maelezo...
Hizi ni kauli za wanachama wa simba kabla ya mechi ya mtani jembe na Yanga.
''mara baada ya mechi na yanga tukishinda au tukifungwa tutaenda nyumbani kwa Rage atuonyeshe fedha za Okwi ziko wap na...
Na Princess Asia, Dar es Salaam
KIPA wa zamani wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, James Kisaka amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Burhan, Dar es Salaam.
Mdogo wa...
July 27, 2008, timu ya Yanga iliingia mitini kwa kutoileta timu uwanjani kucheza na Simba katika mchezo wa kugombea nafasi ya tatu wa masindano ya CECAFA Challenge Cup. Sababu iliyotolewa na Yanga...
Kwa tunaofaham Yusuf Manji tunamfaham si mpenda michezo kama anavyopenda kujitanabaisha. Tunafaham jins anavyotumia umaskin wa watanzania weng na ktk michezo kujijenga kisiasa. Weng wanafaham jins...
Pamoja na hivyo, Manji aliwapongeza Simba kutokana na kucheza vizuri na kushinda mchezo wa juzi, huku akisisitiza Yanga hawana sababu ya kulumbana kwa kuwa ulikuwa ni mchezo wa fete au bonanza.
Yule mchezaji mahiri wa TP Mazembe ya DRC, Tresor Mputu Mabi, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea timu ya Kabuscorp ya Angola ambao ni mabingwa wa soka nchini humo. Mkataba huo ulikuwa una...
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu...
Hbrn wana jamii,wale wa jangwan poleni sana ingawa mnadai lilikuwa bonanza sawa na lile la bodaboda pale leaders.Nicwachoshe sana,ni kwamba kwa taarifa yako mawacliano yanayofanyika ss ktk ukuta...
Daudi Salum " Bruce Lee" anavyo onekana hivi sasa.
Mwishoni mwaka 1991, lilitokea tukio la kufedhehesha pale uwanja wa taifa....
NI TUKIO GANI HILO? FUATANA NAMI :
ISSA ATHUMANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.