Young Injured in Lloris Penalty Incident
David Moyes has revealed Ashley Young is facing a spell on the sidelines after injuring his shoulder in the controversial collision with Tottenham...
Nimekuwa nikishangazwa na viongozi wa simba na yanga kusajili wachezaj kwa mamilion ya pesa hlf uwanja wa mazoez hawana!!! Yaan wanatumia mil 500 kusajili wachezaj hlf wanawapeleka kufanya mazoez...
kwa kukataa kucheza kombe la mapinduzi la kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi tukufu.
Kumbe ni Mzee Karume Senior ndiye aliyewatafutia kiwanja Jangwani na kulipia Tshs. 2,000.
Mjane wa Mzee...
Simba Na Yanga zinatufanya mashabiki vichwa vinatuuma sana emu we fikiria unasikia Azam wameleta basi la kisasa kabisa kwa ajili ya wachezaji na viongozi, unajiuliza kwa nini isiwe simba au yanga...
Barca & Bayern Wants David Luiz
Chelsea defender David Luiz is attracting fresh enquiries from Bayern Munich and Barcelona. But Mourinho wants £35m for the Brazilian.
David Luiz is one of many...
Truth stranger than fiction- Somali Ice Hockey will compete at winter olympics in Russia. My goodness the stage is set for "cool running 2" Ya man!
AFP: Somali bandy team embarks on icy road...
Game ya mtani jembe nyingne lakini hii ndani ya doha qatar kati ya real madrid v paris st germain (psg) leo saa 11 : 45 jioni hii. Usikose kwa wale wenzangu na mimi watumiaji wa al jazeera sports...
AZAM WAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI, WAWAFUMUA 2-0 ‘TIMU YA TAIFA' YA UNGUJA
Home » Unlabelled » AZAM WAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI, WAWAFUMUA 2-0 ‘TIMU YA TAIFA' YA UNGUJA...
Katika Kipindi cha miaka 10 iliyopita ni timu mbili tu (Manchester utd msimu wa 2003/04 na Liverpool msimu wa 2008/09) ambazo zilishindwa kutwaa BPL zikiwa zinaongoza ligi kuelekea mwaka mpya...
Kutokana na agizo la TFF kwa baadhi ya viwanja kwamba lazima vifanyiwe ukarabati,kiwanja kimojawapo kikiwa ni SAMORA MEMORIAL STADIUM cha mjini Iringa kiwanja ambacho ni miongoni mwa viwanja...
Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya Formula 1 Michael yuko mahututi baada ya kupata ajali akiwa katika michezo ya kuteleza kwenye barafu nchini ufaransa.Madaktari wamesema yuko "extreme...
Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi, amesema yupo tayari kuifundisha Yanga kama kocha msaidizi iwapo atahakikishiwa maslahi mazuri.
Mwambusi ambaye amefanikiwa kuipandisha Mbeya City msimu huu na...
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.