NIONAVYO MIMI TFF,SERIKALI,VIONGOZI WA VILABU KUNA KITU CHA KUJIFUNZA HAPA.
Msafara wa NIGERIA wa watu 263 tayari umewasili Adis Ababa tayari kuwavaa ETHIOPIA kati ya hao,223 ni mashabiki...
Kumekuwa na mijadala mbalimbali katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu na ni mkali kati ya Ozil, Iniesta na Xavi
Nataka kudeal na namba katika kugundua nani mkali kati ya hawa, kumbuka namba...
Aliyekua beki kisiki wa Timu ya Taifa na Mtibwa na baadaye kwenda kucheza soka la kulipwa, inasemekana amewehuka kabisaaaaaaa na sasa yu miongoni mwa wagonjwa wa akili
Habari za uhakika kabisa...
Hii Ndio picha iliyopigwa mwaka 1977 tarehe 1st october ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa mzee Pele kucheza Soccer ya ushindani Rekodi yake ilikuwa...
Alishinda Kombe la Dunia Mara 3
Alifunga...
WACHEZAJI wa kigeni wa Yanga wametangaza mgomo mkali kwenye timu hiyo, kutokana na uongozi wa timu hiyo kushindwa kumlipia kodi ya nyumba, beki Mbuyu Twite.
Twite, ambaye ni raia wa Rwanda...
Katka mech ya jana naona neymar alipewa majukum ya messi ya kucheza kama false striker..alionyesha kiwango cha juu ikiwa n pamoja na kutengeneza nafac 2 zilizozaa magoli..na hatimaye yy kuongeza...
===
Wadaua, WanaJF na wapenzi wote wa soccer karibuni, kutupia Updates na yanayoijili kutoka viwanjani leo hii...
Karibuni wote..., Mpira ni furaha, Amani, Upendo na...
===
Azam FC 2-0...
Wayne Rooney has explained that he wanted to leave Manchester United this summer because he was being played out of position by Sir Alex Ferguson.
Rooney was the subject of bids from Chelsea after...
Ligi daraja la kwanza imeendeleakuchanua katika viwanja mbalimbali nchini ambapo katika uwanja wa CCM Mboziwenyeji Kimondo wamesherehesha mashabiki wake baada ya kuitafuna Mkamba Rangersya...
Are you an avid fan of football? If yes, and you are wondering who the richest clubs are after having factored in the number of trophies won, then you are in luck. In this list, youll get to know...
WACHEZAJI wa Klabu ya Simba ya jijini Dar wanaikwepa jezi ya timu yao yenye namba 9 mgongoni kwa madai kwamba ina gundu.
Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kwamba wachezaji wake wako...
MAPROFESHNO, WANAUA AU WANAJENGA SOKA LETU?
BADO Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu katika Ukanda wa Afrika Mashariki unapozungumzia viwango vya soka la kimataifa.
Jambo hili linazihusu timu...
Kiungo wa Manchester united,Mwenye asili ya Albania na raia wa Belgium,Adnan Januzaj(Miaka 18) Amebakisha Miezi 8 Mkataba wake kuisha katika Klabu yake ya Manchester utd na Anatakiwa na Vilabu vya...
UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka duniani, atakwambia kwa sasa kuna mwamuzi mmoja tu maarufu, Howard Webb.Sifa yake ni kuchezesha mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kati ya Hispania na Uholanzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.