baada ya Jana mabingwa watarajiwa simba sports club kuvutwa sharubu na Ruvu Shootings leo, ligi kuu ya Tanzania inaendelea katika viwanja viwili tofauti ila macho ya Watanzania wengi yatakuwa...
Japo tunahitaji kuwatuza wanamichezo wetu wanapofanya vizuri lakini bado sharti tuzo ziendane na vigezo stahili. Vigezo stahili ni vile vinavyo zingatia uwezo uwanjani, hatuhitaji vitu vya nje...
All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events...
Fellaini backlash: United fans turn on £27m signing as he faces seven weeks on the sidelines with wrist injury
The £27.5million summer signing missed Saturday's 2-1 Barclays Premier League...
07/10/2013
0 Comments
Mkurugenzi wa Shirika la Vijana, Walemavu na Watoto (IDYDC) mkoani Iringa, Jonnie Nkoma akimweleza Katibu Mkuiu wa TFF, Angetile Osia juu ya kituo kipya cha Iringa...
Wadau sheria ya kufanya mabadiliko mchezoni-(soka) ikoje,say mchezaji akitoka anaweza kuruhusiwa kurudi tena kama mcheza wa sub kuchukua nafasi a mwingine?etc.....
Nmeshangaa kuona mechi Live ya Yanga na Mtibwa live hapa TBC 1,je imekuweje fungu limeongezwa au viongoz mlivuta Miliion 100 kimya kimya?mwenye data afunguke hapa
Yanga 2.Mtibwa O
Ahlan wasalan ndugu zangu popote pale mlipo,nina imani wengi wenu mtakua ndoton/ktk dimbwi zito la usingiz ama mkizitendetea haki NOAH ZENU.
Leo jion sikuwepo jamvin lakin usiku huu...
FUAmTAILIA UZI HUU KUWEZA KUPATA LIVE UPDATES ZA MECHI ZOTE LEO MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANJANI
Sat
28/09/13
Young Africans
1 - 0
Ruvu Shooting
Sun
29/09/13
Ashanti United
2 - 2
Mtibwa...
Amri Kiemba, Kigoma 'Diaspora' and Talent Export
Kigoma region has not had a club a premier league club for close to 11 years. Mbanga was the last club...
Jamani sijaiona thread yenye title hii, ila wadau tujulishaneni nini kinaendelea, binafsi nitaenda taifa leo, ila Techno yangu sijui kama itaweza kuwapa updates ila nitajitahidi
mechi zingine leo...
Baada ya Azam Tv kuchelewa kuonesha ligi kuu ya Vodacom Tanzania wameamua by the time being wakiwa wanajipanga kuingia ubia na TBC1 bila malipo, kuonesha mechi za ligi kuu mpaka nusu ya msimu huu...
* Ngassa alidai kwamba fedha hizo alizilipa mwenyewe kutoka mfukoni kwake na sasa amebaki katika wakati mgumu ndiyo maana anaomba wasamaria wema kutoka Yanga kujipigapiga na kumchangia kitu kidogo...
Habari zenu wanaJamvi...... Poleni na majukumu.
Naanza kwa kuwapa pole WanaJangwani kwa Mkasa uliowapata kule Mbeya baada ya basi lao kuvunjwa vioo. Unaweza ukukakumbuka kilichowapata Togo kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.