Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
wadau mnaonaje swala la mechi ya toto na pamba kusogwezwa mbele kupisha tamasha la muziki fiesta, je ni sahihi au tamasha ndo lingesogezwa, ma great thinker najua hawatakosa majibu aksanteni wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa timu ya Yanga inatarajia kukata dhidi ya mchezo wao na Azamu uliochezwa leo kwenye uwanja wa taifa na Azam Fc kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Sol Campbell says racism may force him out of England to be a manager • Former Arsenal defender attacks lack of opportunities • 'Attitudes to black footballers here are archaic' • Read Sol...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shabiki wa Man U akiwa amefanya maamuzi magumu kwa timu yake R.I.P kijana, wenzako akina akina Rooney wanakula bata maisha yanakwenda.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni mechi sita(6) zimekamirika kwa LIVERPOOL kucheza bila mshambuliaj wake mahil LUIS SUAREZ.Mchezaj ambae ASENAL walitaka kutoa machoz ya dam ili kumtwaa.Sasa adhabu yake imekwisha kwa kukamilisha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Clabu ya MAN U itakwaana na majogoo wa ulaya LIVERPOOL KTK hatua ya nne ya mashindano ya culling juma 5 hii. Moyes alie kwenye wakat mgum mara baada ya kuchapwa kichapo cha mbwa mwiz cha magol...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Team news,mignolet,toure,enrique,skretel,sakho,lucas,gerrard,sturridge,suarez,agger,moses.man u kafa
0 Reactions
3 Replies
918 Views
natafakari sana hii amenusa goli 5 zinahamia simba? amewezeshwa walau jezi? je Rage akiondoka atarudi MSIMBAZI? Ni pandikizi la Simba Jangwani? Baadhi ya fyuzi kichwani zimekata...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
RATIBA:Septemba 18 (saa 10:00) Tanzania Prisons v Yanga Simba v Mgambo JKT Kagera Sugar v JKT Oljoro Azam FC v Ashanti United Coastal Union v Rhino Rangers Mtibwa Sugar v Mbeya City Ruvu...
0 Reactions
358 Replies
28K Views
Ni msimu wa summer slam kwa wapenzi wa mieleka ya majuu. Mastaa wanaendeleza game. Ninauliza wadau kutaka kujua kwa sasa ndani ya wwe summer slam nani baby face?
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Mbwembwe nyingi,mara oh...! Timu kubwa,mara oh...! Ndo tushaanza hvyo,yako wapi sasa?mliwaokota vibonde mkawapa 6 basi mkajiona wabaabe..shit..sharubu hata paka anazo.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
POPOTE utakapotulia na kutazama pambano lolote litakaloonyeshwa moja kwa moja au kwa marudio, kupitia kituo cha Televisheni cha Azam (Azam TV), usiwe na shaka, utaliona pambano maridadi. Weka...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu JF Wana Young Africans Amani iwe Nanyi. Nipende kuonesha masikitiko Makubwa sana kwa kilichowapata Wachezaji wetu jana Mbeya Baada ya Gari lao kushambuliwa na Mawe na anaodhaniwa kuwa ni...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Man for mpooooo mbona leo hamwonekani humu mmejificha wapi? Ngoja tuwatafute kwa ving'amuzi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kivumbi na jasho,nyasi kuwaka moto. Asiye na mwana............. Yanga yaahidi kutoa kipigo kizito dhidi ya Azam leo taifa. Nategemea Mkuu ndetichia utanipa kikosi cha Azam mapema huku...
2 Reactions
351 Replies
25K Views
Shirikisho la soka Tanzania, TFF, limesema ripoti ya kamishina wa mchezo kati ya Mbeya City na Yanga, haikuonyesha kutokea vurugu zozote kwenye mchezo huo, licha ya Yanga kudai kufanyiwa fujo
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hatimaye timu ya mbeya city leo imemaliza tofauti zao na Yanga Taifa. Mara baada ya mechi yao dhidi ya Simba, wachezaji wa Mbeya City waliwafuata mashabiki wa Yanga na kupiga magoti na kuweka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo leo wale wakare wapya kwenye mchuano huu unaoendelea,na walomtoa jASHO BINGWA mtetezi Dar Yanga leo wanatupa tena upinde wao kuona je wanaweza kumchezea sharubu Simba... utwalubunju...
1 Reactions
285 Replies
24K Views
ni ukweli usio pingika kuwa kikosi cha timu ya MBEYA CITY fc kutoka mkoa wa mbeya kime leta mvuto mpyta na changamoto ya aina yake kwa wanaojiita wakongwe wa soka tanzania wakiwemo wanodhani ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanaupendeleo sana leo uwanja wa taifa walikuwa wanashoot mechi ya yanga na azam huku wakiionyesha kwenye big screen. Cha ajabu magoli yote yanga waliokuwa wakifunga jamaa hawakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom