Ninapoutazama mwelekeo wa chelse kwenye lig kuu uingereza nakumbuka msemo usemao "MANENO MATUPU HAYAVUNJ MFUPA".Rait kama ligi ingeisha leo bac CHELSE NA MORINHO WAKE wasingeshirik uefa champion...
Habarini wanaJF
Kwa wale watakaokuwa wanafuatilia timu zetu za SIMBA naYANGA watagundua kuwa, timu zetu hizo HAZINA official flag(bendera rasmi)!Washabiki wa timu hizo wanachojua ni rangi tu...
Hivi mbona siku za hivi karibuni sielewi tatizo la timu hii lilipo, mana wanajitahidi kumiliki mpira lakini magoli hawafungi kama ilivyokuwa mwanzo au tumekosa wabunifu wa kupiga penetration pass...
Kivumbi cha Ligi Kuu Bara kinaendelea tena leo kwa timu zote 14 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2013/14 zitashuka kwenye viwanja saba vya mikoa vya mikoa tofauti kwa ajili ya...
Wapenzi na wanachama wenzangu wa Yanga; leo watu wazima kidogo tuumbuke. Hawa vijana wa Mbeya City nusura watufunge. Vijana walijiandaa kishirikina, kimazoezi, kishabiki na kisaikolojia. Yanga...
Kwa wale mnaotazama mechi hivi sasa Kati ya TP mazembe na setif mmejione watoto wakibongo wanavyofanya yao huko Congo,
Krosi imepigwa na samatta goli kafunga Thomas ulimwengu ni bao la 3 hilo...
nimesikia Radio Free Afika naibu wazir wa elim philipo mulugo ameaihid kuipa mbeya city kitita cha milion mbili hapo hapo uwanjan endapo wataifunga yanga.swali je mbeya city wataweza kuzuia mziki...
Man Utd 2-0 C Palace FT
A Villa 1-2 Newcastle FT
Fulham 1-1 West Brom FT
Hull City 1-1 Cardiff FT
Stoke City 0-0 Man City FT
Sunderland 1-3 Arsenal FT
Tottenham 2-0 Norwich FT
Mesuit Ozil ameshatoa pasi ya bao lililofungwa na Giroud dakika ya 11.Arsenal yaongoza kwa 1-0 dhidi ya Sunderland. Dakika ni ya 17
Wakati huohuo,Gareth Bale ataingia uwanjani leo kuitumikia Real...
A Kawangware cafe agrees to operate with a funeral home under the same roof
Updated 2 hrs 10 mins ago
By Pkemoi Ngenoh
Business at a food joint in Kawangware has resumed after patrons...
Kama kawa kama dawa,leo tupo hapa kuwajuza live vipute vya big three's (Yanga, Simba na Azam)
Full Time Results:
Yanga 1-1 Coastal Union
Rhiono 0-2 Azam
JKT Oljoro 0-1 Simba
Nawasilisha.
I will walk away if we dont win this season. - Arsene Wenger.
kauli hii ni ya kisiasa,WENGER hajaspecify kuwin kitu gani.!
je anamaanisha kuwin EPL,UCL,CAPITAL ONE,FA,TOP 4.?
Kwa kauli...
FIFA wameiondoa Cape Verde kwenye mashindano ya kuwania kufuzu fainali za Brazil 2014,hii ni baada ya kubainika wametumia mchezaji ambaye hakuwa na uhalali wa kucheza katika mchezo walioifunga...
MCHEZAJI GANI NDANI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA ANAEFAA KUTUWAKILISHA KIMATAIFA?
Nafasi yake:........................
Umri wake:......................... DD-MM-YYYY
Timu...
Kuna kipindi ilianza kuboa na kupoteza radha ya samba football....shukran kwa scolari kwa kuendeleza ubabe katika mechi ya juz dhid ya Portugal..hakika nalisubiri total samba 2014...
Floyd Mayweather cashes in as Oscar De La Hoya fights his demons
• Mayweather faces De La Hoya protégé Saul Alvarez
• De La Hoya will not watch fight as he is in rehab
Kevin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.