Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Apple Iphone 5 64GB $600usd Apple Iphone 5 32GB $500usd Apple Iphone 5 16GB $450usd BlackBerry Porsche :$1000 BlackBerry Design$900USD Blackberry Q10 … $600USD Blackberry Z10 … $550USD...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao.. Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Manchester United legend Sir Alex Ferguson gives blueprint for success The former manager at Old Trafford reveals his secret in a series of interviews with a Harvard Business School professor...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu kijana anajiweza katika usomaji wa michezo star tv,binafsi napenda navyotamka maneno kwa ufasaha,kujiamini,kuwa easy,matumizi ya lugha ya mwili lakini pia mbwembwe zake..anazichungulia anga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa akilini mwangu kwa muda mrefu juu ya hizi unsuccessful two teams. Zikikutana sijui matikeo yatakuwaje na kama Stars itafungwa basi TFF iiondoe timu kushiriki mashindano kwa kupindi hata...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Ioc
Rais mpya wa IOC ni Thomas Bach wa Ujerumani. Huyu ni Rais wa nane wa taasisi hii huku saba kati yao wakitoka mataifa ya Ulaya!
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Pamoja na kwamba mechi ya mwisho dhidi ya Gambia ilikuwa ya kulinda heshima, kichapo ilichopata Taifa Stars kimechangiwa na uzembe au kutojali kwa viongozi wa TFF. Ipo sababu ya msingi kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kura iliyopigwa na Kamati ya Kimataifa ya Olympiki (IOC), MJI WA JAPAN "TOKYO" UMECHAGULIWA KUWA MWENYEJI WA MASHINDANO YA OLYMPIKI 2020. === The International Olympic Committee...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Timu ya Tanzania, Taifa Stars inapambana na Timu ya Taifa ya Gambia jijini Banjul katika michuano ya kuwania kufuzu mashindano ya kombe la dunia 2014 Brazil. "Tukishinda na kupanda viwango...
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Ile kauli ya Mizengo Pinda "pigweni tu" imeanza kutekelezwa na wachezaji wa Taifa Staz. Sometimez ni bahati mbaya, lakini kwa nini daily ni sisi tu ndo inatutokea?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jose Mourinho has admitted that he blocked Demba Ba's move to Arsenal after hearing they had signed Mesut Ozil. The German completed a transfer deadline day move to Arsenal for £42.5 million and...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii si mara ya kwanza siasa za Matusi kufanyika jukwaani.Mbwa alihawi valishwa Bendera ya CDM sasa tunaona SImba kupewa nafasi ya kufunga Vibonde wenye Jezi ya Yanga.Kwani hapakuwa na Jezi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wampa mkataba wa mwaka mmoja! Kuanza kuonekana weekend. Lengo ni kuwajenga vijana walionao.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Fernando Torres - Survivor - All Goals, Assists and Skills 2012/2013 HD on Vimeo fungua angalia mwenyewe jamaa ni hatari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NASHANGAA baadhi ya mashabiki wanasema eti Kim amemchagua BABU Taifa Stars! Jamani hivi baadhi ya watu wameanza kupenda soka sijui mwaka jana! Maana ninavyokumbuka ni kwamba Henry Joseph na Kelvin...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Yanga inatarajia kuleta katibu mpya mkenya.mimi binafsi siungi mkono hapa makamu mwenyekiti clement sanga umechemka na unaendeleza sera ya kutukuza wageni. Hapo kwanza tayari tunapunguza ajira ya...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Clement Sanga leo amefanya mkutano na waandishi wa habari kutoa ufafanuzi juu ya habari zilizokuwa zimeenea kuhusiana na taarifa za mabadiliko ya kaimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wazee wa klabu kongwe nchini Tanzania leo wamemkataa katibu wao mpya, Katika Mkutano wao na Waandishi wa Habari leo makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naam :,kuingia kwa mesut ozil,dizain kam naona Arsenal ilee inarud,na makombe mpango mzima,cjui january itakuwaje!2tegemee ganaz ya 2004/2005?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
August 30, 2013 Cameroon striker Samuel Eto'o has finally secured his reunion with Jose Mourinho after signing for Chelsea in a one-year deal. The 32-year-old is the second player to arrive at...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Back
Top Bottom