Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mpira unaendelea Fcb 7: 0 Levante
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Ni habari njema kwa mashabiki wa Wayne rooney, Man utd na mpira kwa ujumla ya uamuzi wa Rooney kuamua kubaki utd! Nafurahi kujua sasa timu itatulia, na ushirikiano utaimarika zaidi. Pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Wanajangwani wote jiandaeni kwa kushangilia kuchukua "ndoo" ya kwanza leo. Matokeo yatakua:Yanga2-0Azam. Na wale wanazi wa dadake Azam pia wawepo jamani ili kushuhudia 'LIBOLO'likiipekenyua ile...
5 Reactions
343 Replies
23K Views
Usain Bolt completes triple gold worldsBy NBC Sports Posts By NBC Sports | NBC on Yahoo! Sports – 4 hours ago Email Share Usain Bolt...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kikosi cha Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ kitaondoka jijini Tanga Moshi kwa ajili ya kuweka kambi ya siku kadhaa kabla ya kukutana na JKT Oljoro kwenye mechi ya ufunguzi ligi kuu ya Vodacom...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kama Yanga wameshinda katika sakata la Azam TV vs Yanga. Leo naibu waziri wa michezo na utamaduni mh Amos Makala alikua na kikao kizito na Kamati ya ligi,TFF,Azam TV na Yanga SC,huku Yanga...
7 Reactions
79 Replies
8K Views
Arsenal 3 mancity 1
2 Reactions
10 Replies
1K Views
kiukweli Arsene wenger anaboa balaa...pexa zipo kununua wachezaji anaona ubahili,anapenda wachezaji wa mafungu wa bei chee ona leo tulivyoburuzwa had noumer daa!! but a'm arsenal number one fan...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani mashabiki wenza mlio ktk JF naomba nisaidie maana binafsi nashindwa kuelewa labda kwakuwa niko bali na tanzania (mwanza). Mi ni mshabiki mkubwa wa yanga na siwezi shabikia timu nyingine...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
14th IAAF World Championships Medal Table
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mashabiki na wapenzi wa Asernal, ni vigumu kuamini kuwa, kila kukicha Wenger ana bid watu wa kujiunga na club yake lakini anaishia kutopata hata mtu. Tulianza na Higua, Akatoweka, tukaja na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila mechi ninayoenda taifa huwa nashangaa sana kukuta waandishi wa habari wote wamekaa vip A upande wa yanga inamaana wote ni wanazi wa yanga?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu mapema leo kwenye gazeti la mwanaspoti kocha mkuu wa Azam, Stewart Hall ameongea kuwa anahofu na uzoefu wa beki ya kati ya Yanga has uwepowa Yondani, Canavaro na Chuji. Maelezo aliyotoa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Date Place Round Home Away Tournament 23/02/2013 Dar R18 Yanga 1-0 Azam...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa natumaini wengii mtakuwa mmekasirika na wachache kushangilia ushindi wa yanga leo hii sasa basi pengine aukuwa uwanjani ila niseme kweli mpenzi wa mungu azam wamecheza vizuri zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inaelekea msimu huu kutakuwa na vute nikuvute kuhusu usajili wa mchazaji Mrisho Ngasa. Maadam yeye anasema kasajili Yanga tu, hapa kuna mambo mawili tu. Ama Ngasa kasaini timu zote mbili au...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
View Table...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na umuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Msaada wanajamvi kwa mwenye link ambazo ntaweza angalia epl live anisaidie.. Asanteni..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sakata la usajili wa Ngasa linaonyesha kuwa TTF hawako makini katika kushughulikia matatizo ya usajili yanayojitokeza mara kwa mara. Sakata la Ngasa kwa kiasi kikubwa linafanana na sakata la Mbuyu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom