HIVI NI NINI KINAENDELEA KWA HUYU DOGO WETU?? MLIOKO NJE MBONA HAMTUPI UPDATES AISEE....AU MNAMPROTECT??
This year in the NBA, there have been so many great players that I think the little guy...
Ni Bavarians au Mnyama Mweusi(The Black Beast). Mabingwa mara 22 wa Bundesliga, Mabingwa mara 15 wa Kombe la Shirikisho(DFB-Pokal), Mabingwa mara 4 wa Ngao ya Hisani(DFB-Supercup). Mabingwa mara 4...
Wagosi wa kaya coastal union leo wanaingia uwanjani kupambana na timu timu pekee iliosalia katika mashindano ya kimataifa Africa mashariki na kati Azam FC mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika...
Hawa Wazamiaji Uwanjani wa Brazil, kama Tanzania itashinda na kwenda huko, kwa kweli itakuwa balaa....
Yaani Dume limejaza Kifuani kuzidi hata Mwanamke wa Kigogo au wa Kihehe, Makonde ndiyo...
mambo yanayofanywa uwanjani na Luis Suarez na Gareth Bale yanatisha. Pia juhudi zao binafsi zimewezesha timu zao ambazo ni underdogs kupata matokeo mazuri.
Je, unadhani NANI ATAIBUKA KIDEDEA? Kwa...
Katika vipindi vya michezo na hasa katika mechi za soka vyombo vyetu vya habari (radio na TV) hili wameshindwa ku'copy and paste' toka DSTV! Habari na mitindo mingi ni hodari wa kufanya hivo ila...
Hii ni baada ya kutoka sare na timu ambayo iko ya 14 kwenye table ya la Liga yaani Barcelona wamechoka kabisa aisee yaani wametolewa jasho ni balaa na timu ya 14 Athletic Bilbao sasa kw wale jamaa...
Waliokuwa mabingwa wa Tanzania, Wachezea Libolo, Simba SC wako uwanjani kumenyana na Polisi Morogoro. Hadi mapumziko Simba 1-1 Polisi Morogoro.
Dakika 2 ya kipindi cha 2 Ngassa katupia bao...
Inakera sana kuwapigia mabingwa makofi
Walimzomea lakini aliwafunga, kwani yeye anakosa gani? Alikuwa Arsenal kwa miaka nane na hawakuweza kupata kombe lolote, hata fainali ya Carling cup...
Baada ya leo tar26.04.2013 Azam kwenda drow ya bao 1-1 na Coast Union,matokeo hayo yameipa ubingwa club ya Yanga na sasa ndio mabingwa wapya.
Tukiwa tunajiandaa kwenda kwenye kombe la kagame...
Benitez anatuzingua, ila habari njema kwa wadau wote ni kuwa "THE SPECIAL ONE" anarudi na anakuja na R.Falcao. Nimesoma kwenye mtandao kocha wa Young boyz yaan ARSENAL ameisha anza kuhaha... Big...
Salaamu kwenu wale wenzangu wapenzi wa masumbwi au ndondi!
Pambano: Trevor Berbick Vs Mike (Iron) Tyson
Pamoja na mapambano kadhaa ya kuvutia yaliyowahi kuchezwa ktk sayari hii, binafsi navutiwa...
Arsenal manager Arsene Wenger has nominated one of Manchester United's champions as a worthy winner of the PFA Footballer of the Year award - but it is not former Gunners captain Robin van...
The special one!:biggrin::biggrin::biggrin:
Najua Real Madrid bado wana nafasi kubwa ya kuingia fainali kuliko Barca lakini haya matokeo yatakuwa yamekata ngebe za Mourinho. Ile safari ya kukimbia...
Robert Lewandowsky yupo tayari kujiunga na MAN UTD na kukacha Bayern. Ni habari njema kwetu mashabiki w the Red Devils.
Kwa mujibu wa habari za daily star zimekariri vyombo vya habari vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.