bondia francis cheka inaonekana hana mpinzani tanzania baada ya kumtwanga mashali KO, mashali alijitaidi kupambana hadi round ya 10 alipotwangwa konde zito lilimpelekea kupoteza fahamu kwa dakika...
Huyu ndugu alipoondolewa yeye na Wambura hoja ya ubovu wa katiba ilipoanza.Hata Makala ndipo alijitokeza.
Mtandao alioanzisha unafanana na ule dhidi ya akina Sumaye na Salim Ahmed Salim wakati...
robin van persie wa man utd,luis suarez wa liverpool na gareth bale wa tottenham nan anastahili tuzo ya mcezaji bora wa ligi kuu ya england msimu huu au PFA player of the year,toa maoni yako
Miezi mitatu iliyopita niliandika uzi kama huu. Mashabiki wa Barcelona mishipa ya shingo ilitaka kuwapasuka kwa ubishi na matusi kuitetea timu yao. Sasa Bayern Munich imewaonyesha ukweli wa hicho...
Sote tumeshuhudia kiwango safi kilichooneshwa na mabingwa wa kihistoria wa UCL Real Madrid kiasi cha kuwafanya Dotmund waombee mpira uishe huku vijana wa Mourinho wakitiririka kama nyuki, kwa hili...
Sakata la uchaguzi wa chama cha soka tanzania limeingia gambo baada ya chama cha soka dunian Fifa kuamuru uchaguzo kurudiwa upya na katiba kurekebisha;;katika hatua ya kushangaza mwenyekiti wa...
Robert Lewandowski
Vita kusaka tiketi ya kusafiri kwendajijini London kwenye mchezo wa fainali wa klabu bingwa barani Ulaya.
"UEFA Champions League 2013
Semi-finals , 2nd leg, 30 Apr-1...
FIFA yaagiza mchakato ufanyike upya!
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini...
Leo ikiwa ni mwisho kabisa wa kutupa Nanga yetu katika dimba la nou camp naamini na ninauhakika na nini kikosi bora duniani kinafanya kwani tumejiandaa kisaikolojia na kimkakati ku win match hii...
Urefu ,miili ya Bayern Munich bila kusahau Nguvu ya kimchezo vimewasaidia sana hawa vijana na kutoka na huu ushindi wa ajabu wa goli 7 bila,congratulates BM and ur coach Jup Hencles
Sent from my...
shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini kasoro iliyotokana na ukosefu wa...
Super Mario ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia wachezaji wa Real Madrid kama watawafunga na kuwatoa Dortmund kwenye UCL hapo kesho, atawapa demu wake wamsex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.