Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Hii sheria nayo sasa imefika mda nayo itumike huku kwetu ili kuleta ushindani zaidi katika soka letu timu zetu zitakuwa zikijitaidi kushinda kabla ya ligi kuisha ili zipigiwe makofi kama...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Simba wanakipiga na Ruvu Shooting. Dk. 14 Amri Kiemba kapiga shuti lililotinga wavuni moja kwa moja hivyo Simba 1-0 Ruvu Shooting.
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Naomba tujadili nani atamrithi Fergie coz it is rumored kwamba may be after two seasons, Fergie will call it a day at Utd and Man Utd directors wameshaanza kutafuta for a possible replacement...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Jana wakati akifunga mashindano ya BULAYA CUP huko BUNDA mbunge wa viti maalumu ESTER BULAYA alilalamika kwamba wakati yeye akitafuta fedha kwa hali na mali kuendesha mashindano hayo kuna watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ñarudia tena Barca kufungwa na Beyern sio kigezo au vigezo wanavyovitumia wataalamu wa soka kuchagua club boraaaa kabisa Barcelona Ni mfumo wa uchezaji,ushindi katika mechi nyingi nyingi,ubora...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Huyu jamaa ana miaka 34 na ni NBA basketball player .. Kafunguka kuwa anagawa kabaang!!!! Dah.. Dunia imekwenda na maji...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Memphis 26 11:00 2nd GameChannel TV: TNT Oklahoma City 23 Odds Scoreboard Hasheem you ndani anapambana natimu yake ya zamani Mephins
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Mbona hakuna wafuatiliaji wa NBA playoff tunacheza muda huu...Game limefika 4th quarter Tanzania wapo nyuma point 3 na tunacheza nyumbani... Mungu ibariki Tanzania.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
1 Reactions
4 Replies
836 Views
Jana katika taarifa ya michezo Channel TEN tulimuona mheshimiwa Ester Bulaya katika Bulaya Cup kavalia jezi nyeusi yenye strips za njano iliyotengenezwa na kampuni ya Addidas. Swali langu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiuliza RAIS na WASHAURI wake walitumia vigezo vipi kuipata timu bora ya UEFA ya mwaka 2012.mnaojua vigezo nijuzeni.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirikisho la soka nchini linatambulika na FIFA kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini sikumbuki kama pameisha wahi kufanyika uchaguzi wake ukiwashirikisha wagombea toka Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwako Kaka, Niruhusu nikutumie ujumbe kupitia jukwaa kwani sina namna nyingine ya kuwasiliana na wewe. Niende kwenye maudhui ya waraka huu. Shirikisho la soka la dunia FIFA limetoa...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Webb atasimama pale kati stantiago bernabeu tashuhudia ronaldo akipiga hat-trick nakuipeleka madrid final
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Hii ni kutokana na kupata kadi nyingine ya tatu leo mechi dhidi ya ruvu shooting.Kadi ya pili alipata mechi na azam ya kwanza aliipata katika mzunguko wa kwanza.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KILABU cha Barca leo kinaingia katika Dimba lake la Nou Camp kwenda pambana na KLABU ya Bayern Munchen ya Ujerumani. Ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kuchutama mara 4 katika Dimba la Alianz Arena...
0 Reactions
307 Replies
13K Views
Dakika ni ya 8,Barcelona 1,Betis 1. Ni mechi kali mno
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Bao lake la dakika ya 84 dhidi ya Torino limeifanya AC Milan kuizidi alama 4 Fiorentina. Fiorentina na Milan zipo vitani kugombea nafasi ya tatu ya kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa timu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa siku ya kukabidhiwa ubingwa Patrice Evra ndio akabidhiwe kombe kwa niaba ya timu nzima kama kapteni na si Nemanja Vidic. Kwanini nasema hivo?nasema hivo kutokana na mchango mkubwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom