Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga...
David Beckham has retired from football, bringing an end to a glittering career on the field. Despite the offer of an extended one-year deal at Paris Saint-German, sources in Paris have revealed...
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni...
Viwanja vya michezo vilivyopo kote ulimwenguni havina budi kuwa na vyoo bora ikiwa ni pamoja na mazingira ya viwanja hivyo kuwa safi wakati wote.
ManyandaHealthy: VIWANJA VYETU VYA MICHEZO VIWE...
Kiungo mkabaji wa manchester united Michael Carrick kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Klabu,hakika jamaa anastahili kwani amechangia asilimia kubwa ya mafanikio kwa klabu si kwa...
Ferguson kaagwa jana na mashabiki lukuki wa Man utd huku vijana wake wakimpa zawadi ya ushindi wa mabao 2 - 1. Mara baada ya mechi alitoa speech yenye huzuni lakini yenye kutia matumaini. Sehemu...
Wanajamvi, hivi sasa kuna parade rasmi la kutembeza kombe la Barclay Premiership.
Mnaweza kuangalia gwaride hilo live kuanzia Old Trafford.
Champions 2013 Parade - Live coverage of United's...
Kuhusu pambano la watani wa jadi
sie watu wa Sumbawanga
tumeshachungulia kitakachojiri siku
hiyo.niwape siri kidogo tu mhuu
yale yale nawashauri Yanga
wasipeleke timu uwanjani
Bayern Munich na Borussia
Dortmund katika Bundesliga:
===
Borussia Dortmund held Bayern
Munich to a bad-tempered 1-1
draw in the Bundesliga on
Saturday ahead of their Champions
League final...
From Man U fans around the world............Give us yours please.
FERGUSON'S BEST XI
Alex McCallum: Schmeichel, G Neville, Evra, Stam, Vidic, Giggs, Scholes, Keane, Ronaldo, Van Persie, Cantona...
Sikubaliana kwamba Simba Sports club ilistahili kuachiwa ili kupata point 6 kutoka kwa Kagera timu inayofundishwa na mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Abdallah Kibadeni "mputa+ lakini...
Wachezaji wote tegemeo waliokuwa wakiichezea Arsenal na kuamua kuondoka walipata mafanikio walikokwenda.Alianza patrick Viera kwenda Inter Milan. Pale alipata scudetto mara mbili. Akafuata...
Wayne Rooney alimwambia Ferguson wiki mbili zilizopita kuwa anataka kuondoka Manchester Utd.
Hata hivyo, msemaji wa Man Utd amesema kuwa Wayne Rooney hauzwi.
Rooney na kocha mpya mtarajiwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.