Group A
EL Merriekh(Sudan), Simba(TZ), AL Mann(Somalia), APR(Rwanda)
Group B
AL Hilal(Sudan), Ahl Shandi(Sudan), Al Nasri(S.Sudan), Tasker(Kenya), Super Falcon(ZnZ)
Group C
Yanga(TZ)...
Siku zote nasema Tanzania hakuna wasomi,kama wapo hawafiki ishirini. Wakati ngasa anakwenda kwa mkopo Simba kutoka azam kiongozi m1 wa simba aliongezea kwa kusema kuwa pia ngasa amesaini mkataba...
For the last few years, there has been no "new Kids on the block". We remember the likes of Beckham, Giggs, Scholes, Nick Butt and the Neville brothers were instrumental for the SAF reign in...
Leo hii kama unatumia vigezo ambavo Barca walitumiwa kufanyiwa classification(vya mtaani) kuwa eti oooh...kashuka kiwango mbona katoa draw kafungwa na nanilihii..na nanilihi...na ukiilinganisha na...
KATIBU TFF
Alipotafutwa na gazeti hili jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala hilo, Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah alisema malipo ya asilimia 15 ya uwanja katika mgawo wa serikali kutokana na...
Posted by fununu habarimichezo5/19/2013 06:17:00 AM
Refa Martin Saanya kushoto akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbangu asipigane na beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' kulia...
Kwa wafuatiliaji wa michezo na wale wanaofanya betting online,michezo kama football,basketball,tennis,rugby,n.k.
mmeshafanikiwa kujishindia donge nono?je mlifanyaje?
unapanga timu zako kama 10...
AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa addicted na ushabiki wa soka kiasi...
Nimeshindwa kujizuia nikitafakari matokeo ya mechi ya Simba na Yanga... kweli matokeo ya mechi ni kushindwa kushinda na kutoka sare... lakini mazingira ya mchezo wenyewe ndo tatizo... Kipa kaseja...
Breaking news / His career as Real Madrid's manager is over
Bye Bye Mourinho!
Real Madrid president Florentino Pérez has confirmed the exit of the Portuguese manager José Mourinho at the end...
Mario Balloteli jana alifunga bao moja na kuisaidia AC Milan kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Siena.Bao lingine la Milan liliwekwa kimiani na Mexes aliyeunganisha krosi ya Montolivo. Mabao ya Milan...
Wadau nimepata wakati mgumu kusikia kuwa Ngasa amesaini yanga.sina tatizo na yeye kwenda Yanga,ila concern yangu ni je;DIRISHA LA USAJILI TAYARI LIMEFUNGULIWA?KAMA BADO NI UTARATIBU/KANUNI/SHERIA...
Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?
Wao mafanikio yao ni kumfunga Simba tu.Wanasema hawategemei kufanya usajili kwani wachezaji walio nao wanatosha kukabiliana na mashindano!Hivi Yanga wana striker wa kupambana ktk klabu bingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.