Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
hili suali najiuliza kila siku ila sijawai kupata jibu lake,labda tujadili hili ingawaje najua kwa makomandoo wa simba na yanga nitawaudhi ila ukweli ndio huo.
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu ya taifa ya soka ilitoa "hamasa" ya sh. milioni 30 kwa Taifa Stars katikati ya wiki, kwa ajili ya mechi ya Juni 8 ya michuano ya awali ya Kombe la Dunia dhidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sunday, May 26, 2013 Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao. Wachezaji wa Taifa Stars, benchi la ufundi na maofisa wakuu wa TBL...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Juma Kaseja ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inakaribia kumalizika. Dar es Salaam. Hekaheka za usajili zimeanza kushika kasi na tayari baadhi ya wachezaji waliomaliza mikataba yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajerumani kuiteka Wembley === === === === Borussia Dortmund – Bayern Munich Fainali Leo Jumamosi, Muda saa 3:45 usiku (SS3), Jiji: London, Uwanja: Wembley, Mwamuzi: Nicola...
2 Reactions
307 Replies
26K Views
The world record holder for maximum centuries in Cricket Sachin Tendulkar retires from T20 format cricket of Indian Premier League. The surprise announcement came immediately after his team Mumbai...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
M/kiti wa Yanga mh Yusufu Manji ameongezea mamilioni ya shillings kwenye michuano ya Kagame Cup na sasa bingwa atalamba $80,000.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
HOMA INAZIDI KUPANDA KUELEKEA FINALI YA UEFA. 25/05/2013. uwanja wa wembley ndio mbivu na mbichi zitajulikana na atatwaa ndoo kati ya wakali ya ujerumani. DONTMUND WANAJIVUNIA FUNDI WAO REUS NA...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Pana dhana kule Ulaya kuwa klabu iifungayo FC Barcelona (timu bora Ulaya) kwenye robo au nusu fainali ya UCL ndio huwa bingwa wa kombe hilo. Sasa leo tuona kama FC Bayern itaendeleza usemi huu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF naomba kufahamu nani aliibuka kidedea jana pale wembley - Uingereza
0 Reactions
2 Replies
706 Views
TFF imejiweka kando ktk swala la NGASA na kuwambia simba wawe wakweli juu ya usajiri wa Mrisho Ngasa.Yasema kama kweli wana mkataba na NGASA kwa nini hawauweki hadhalani?yawapa ushauri wa bure...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Nakupongeza Mourinho kwa kuwa msimu huu umeipiga Barcelona, lakini umechekesha kitendo cha kunyang'anywa ubingwa ukiwa nyuma kwa point 10. Umeweka rekodi kwa kugombana na Iker Casillas ambaye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LEO NI FAINALI KALI AMBAYO NAIFANANISHA KATI CCM NA CDM:heh:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kupatiwa physical address ya Mh Aden Ismail Rage kuna mambo nataka "ku sort nae"
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Asema Yanga ni nyumbani na wala hawezi kuondoka! Asema Simba ni sawa na saccos ya akina mama,wakivurugana asubuhi wanapatana jioni!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wale ambao mnatumia dstv hebu tufahamisheni kin'gamuzi chao kinalipiwa bei gani na kwa muda gani na ligi gani kwa ulaya wanazi onyesha natoa shukrani kwa wote .
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenye data atumwagie niko mahali kumewekwa mawaidha Kwny TV mwalimu amesema ni timu za dini hiyo duh sasa tushabikie qpr?
0 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Closed
habari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote. Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya...
1 Reactions
68 Replies
20K Views
Klabu ya Simba imedai kuwa mchezaji Mrisho Halfan Ngassa bado ni mchezaji wao halali kwakuwa wana mkataba naye hadi mwisho wa msimu ujao. Hayo aliyasema Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vina nguvu zaidi ya kusambaza USHAWISHI kwa wasikilizaji/wasomaji wake na kuaminiwa. Wananchi wengi hapa nchini wanapenda mno soka na hasa soka la vilabu vyetu lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom