Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Katika kile ambacho tunakiona ni mafanikio makubwa kwa barcelona msimu ujao na ni moja ya mikakati ya kuchukua vikombe vyote tena msimu ujao kijana Neymar da Silva Santos Júnior tayari atatua...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Mambo vipi wana michezo wenzangu, mwenzenu kuna kitu sielewi ktk tim yetu ya Taifa. Kama tunavyojua hivi sasa tuna kabiliwa na michuano ya kutafuta kufuzu kwenye michuano ya kombe la Dunia hatua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
chanzo BIN ZUBEIRY: RASMI 'KING KIBADEN' KOCHA MPYA SIMBA SC, AANZA KAZI KESHO KINESI
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Francis Kahata of Harambee Stars vies for the ball against Efe Ambrose of Nigeria during their 2014 World Cup qualifier at Moi International Sports Centre, Nairobi June 5, 2013. MOHAMMED AMIN...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tunajipamba tunaweza kuzifunga morocco , ivory coast ili tushiriki kombe la dunia nchini brazil 2014,ndio tunaweza kufanya ivo lkn nadhan hatupaswi kushirik tunapaswa kushindana na il tuweze...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Taarifa zilipatikana kutoka Clouds FM katika mazungumzo kati ya Maestro na Loveness ni kuwa Mchezaji wa timu ya Vijana ya Chelsea "the Blues" Adam Nditi amekubali kuchezea timu ya Taifa ya...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Baada ya ushindi wake wa jana dhidi ya Malaga wa4-1,Barcelona imeweka rekodi mpya La Liga kwa kujikusanyia alama 100 na na mabao 115 ya kufunga na hatimaye kutwaa ubingwa. Mabao ya David...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufuatia hali ya sintofahamu kuhusu ushiriki wa vilabu vya Tanzania katika kombe la kagame Darfur,imethibitika kwamba timu za 'El Merrekh na Al Hilal'zimejitoa kwenye michuano hiyo muda murefu kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If you like this say yeah! kama siyo ipotezee mwana!:)
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Nimekuwa nafatilia x nyingi mpira wa kibongo kwa umri wangu nashindwa kung'amua jambo1 hivi mpira wetu unapanda umeshawahi kupanda au tuko kwenye line ipi tusaidiane ktk hili wadau wa kandanda...
1 Reactions
0 Replies
649 Views
Nadhani haya ni yale matokeo ya mwanzo February 27, 2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA Page : 581 QT 2012 RESULTS FOR : M1503 - ZUHRA ISLAMIC SEM...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
WanaJF naomba msinishangae kuuliza swali hili kwani nimejifikiria mno na kutopata jibu. Huyu kaajiriwa na TFF kama afisa habari wake sasa kuongozana na timu ya taifa ambayo tena inaweka kambi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
- Edinson Cavani (26) anakamilisha mipango ya kutua ManCity. Chelsea na Real Madrid nao wamo kwenye mawindo. Lakini klabu imempa ofa nono ya mkataba wa £6m kwa msimu ili abaki. - Kiungo...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Jose Mourinho aka the Special One amesema hatakuwa tena kocha wa Real Madrid msimu ujao na kwamba ana mpango wa kwenda anapopendwa. Alipoulizwa ni wapi huko, Mourinho alisema kuwa anajua anapendwa...
14 Reactions
113 Replies
10K Views
Nipo hapa nawaangalia Juma Pondamali na Peter Manyika kwenye kipindi cha michezo cha EATV, kila mmoja anajisifu na kumkandia mwenzake, lakini cha ajabu si katika fani zao zile za zamani bali ni...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Chelsea have reappointed J. Mourinho as their new manager. Welcome back to EPL at least for the next three season. By 2016 Chelsea will have another manager, Mourinho's wandering history doesn't lie.
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Habari za hivi pinde ni kwamba Chelsea wamemchagua tena Mourinho kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi kingine cha miaka minne Source: cnn
0 Reactions
3 Replies
849 Views
wadau naomba kujulishwa hivi ni kweli ligi ya Mabingwa mkoa (RCL) imesimamishwa leo na mahakama?
1 Reactions
1 Replies
855 Views
Kama kuna mchezaji wa afrika mwenye sifa za kucheza na mpira apendavyo basi Mimi ningempa Austin jay jay okocha ni mchezaji wa kiungo pekee ktk bara letu la Africa aliyekuwa na uwezo pekee wa...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni half time Sudan 0:0 Taifa stars
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom