Kibadeni anakuwa kocha wa Simba mimi sina kinyongo lakini Kama viongozi wa simba wangekuwa wasikivu wangemuondoa Julio maana hata wachezaji hawamkubali lakini kwa saabu ya mdomo wake na nafasi...
Yule supervisor wa kichina wa ujenzi wa uwanja wa taifa amenyongwa nchini china kwa ufisadi alioufanya tanzania.
Inshu iko hivi.
Huyu kibopa wakati anakuja na jopo lake alidakwa na mkulu mmoja...
Nilikuwa natafakari uamuzi wa CECAFA kupeleka kituo mji huo ambapo hakuna AMANI, kama waziri wetu wa mambo ya nje alivotuthibitisha hivi karibuni ulikuwa sawa? Kwa kauli ya waziri Membe naona...
Waziri Membe ametoa kauli hiyo bungeni leo akijibu swali la mbunge aliyetaka kujua usalama wa wachezaji wa tanzania maana Darfur siyo salama kwa wageni hata kidogo kwani wageni wote lazima...
For arsenal fans Ramsey yupo kenya na alikuwa kwenye Academy ya soka moja hapa Nairobi inaitwa Ligi Ndogo ambapo alipewa jezi nambari 16. He talked of his love for Arsenal, his injury while...
Nikiwa kama mdau na mpenzi wa soka ningependa kushea mawazo yangu juu ya kikosi changu cha dunia na kupata criticism au support za wadau kwa kikosi hiki.
Formation: 4-1-3-2
1. Manuel Neur (B...
Ndugu wanajangwani lile jembe la Yanga Mrisho Halfan Ngassa leo atatambulishwa kwa waandishi wa habari.Mshahara wake utakua $2000.
Wakati huo huo katika kile kilichoonyesha kwa anamapenzi...
Wadhamini wa mabingwa wa Tanzania na A.mashariki na kati TBL leo wamewapa zawadi ya 25M kama ahsante kwa kutwa ubingwa wa Tanzania.
Pia imewaahidi zawadi nono endapo watalitetea vema kombe la...
Kwa makumi ya miaka niliyokuwemo DSM, nikiri sijawahi kuhudhuria Mechi uwanjani wala kuangalia mechi si redioni wala luningani na pia huwa nawashangaa watu sana kuwa wapenzi wa mpira. lakini...
Wakuu hivi sasa ligi za soka (2008/09) zinaelekea ukingoni (ya kwetu Bongo ilishaisha)....
Hebu tuchukue muda kidogo na kujikumbusha matukio muhimu yaliyokugusa binafsi....namaanisha labda...
WAZEE WA YANGA WATIA UBANI USAJILI MAKINI, WAFICHUA SIRI YA TUNAZO MILIONI MIA SABA ZA KUENDESHA KLABU , WADAI NGASSA, NIYONZIMA NI BALAA!!
by JOHN BUKUKU on MAY 25, 2013
Mzee Ibrahim...
jamani wakuu hali zenu kuna mkuu mmoja humu alituwekea link moja ya rusia ni hd kabisa naomba kama bado yupo na anaijua basi atuwekee tena natoa shukrani kwa wote
Timu yetu ya taifa Taifa Stars inajiandaa na mechi ya kuamua ni nani aongoze kundi na kuwa na nafasi kubwa ya kuliwakilisha bara la Afrika katika fainali za kombe hilo la Dunia zitakazofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.