Mbona haeleweki huyu Babu? Ina maana makosa aliyo yafanya msimu uliopita hayajamfundisha tu? Sasa anatapa tapa kwenye usajili. Mara anasema anamtaka JOVETIC mara HIGUAN mara...
Naona inakuwa mazowea kwa mechi za mashindano za kimataifa zinazoihusu timu yetu ya taifa kupangwa kuchezwa hapa saa tisa alasiri, najiuliza ni kigezo gani wanakitumia hawa TFF kwani kama...
Niulize tu hiki cha kurusha mechi live haioneshi muda,hamna magoli wala majina ya timu hamnna mnautangazia umma hii nchi haina wataalamu wa IT,hamna hela za kuajiri wasomi wenye ujuzi wakasaidia...
Baada ya dk 45 za kwanza; kufungwa 3-2 ni kawaida kwenye mchezo, lakini hoja ni kwamba kwa nini wachezaji wa Stars hufunga mabao mazuri sana lakini wanafungwa mabao ya kizembe sana pia? Tujadili.
Huyu mama haijafahamika anapata wapi nguvu ya pesa kwani kuna kipindi kampuni yake ilipata tenda ya serikali kujenga Refinary ya kusafisha mafuta na kusafirisha mikoani lakini ikafeli
Leo hapa...
Nilikuwa nikimuheshimu sana bwana EDO KUMWEMBE ambaye ni mchambuzi wa soka lakini siku za karibuni ameanza kutoa uchambuzi wake wa kinafiki, especialy pale anaipoichambua Arsenal.
Hakuna siku...
Kwa wale ambao wanaopenda kuangalia mashindano haya, ukiachilia mbali Supersport kwa hizi channel za FTA TVM ya Msumbiji inaonesha. Naomba kuwasilisha.
BSPORTS POWER FOOTBALL RANKINGS (Top 30):
1 Lionel Messi, 2 Cristiano Ronaldo, 3 Franck Ribery, 4 Marco Reus, 5 Andrea Pirlo, 6 Robin van Persie (Man Utd), 7 Giorgio Chiellini, 8 Marek Hamsik, 9...
Nimemsikia Watangazaji wa Clouds PJ na Laexander na Babra povu linawatoka wanahamasisha Watanzania kuwafanyia umafia wageni wa Ivory Coast ambao watapambana na Timu yetu ya Taifa Jumapili wakisema...
"Mabingwa watetezi wa Kombe la Kagame"
"Ni kwa kuwa hali ya Darfur siyo nzuri kiusalama."
Yanga yavuliwa ubingwa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imesema kuwa haiwezi...
June 13, 2013
Two players have been expelled from the Ivory Coast squad ahead of their encounter against Tanzania scheduled for Sunday after they were found guilty of fighting during a training...
SERIKALI imeziruhusu klabu za Simba SC, Yanga SC za Dar es Salaam na Super Falcons ya Zanzibar kwenda Sudan kushiriki michuano ya Klabu Buingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
Naibu...
KIKOSI cha wachezaji 27 wa timu ya soka ya taifa ya Ivory Coast, Tembo kimewasili usikuhuu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kikitokea Abidjan na kupitia Kongo Brazaville, tayari...
Abdallah Msimba katika enzi ya uhai wake akiichezea timu ya Sigara
source: BIN ZUBEIRY: MSIBA; ABDALLAH MSAMBA ALIYENG'ARA SIMBA SC, PAN NA SIGARA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO MBEZI
Justin Gatlin upsets Usain Bolt in 100 meters8 hours ago
Email
Share590
The stunning image is now bouncing around the world: Usain Bolt, fastest man in human history, watching an...
Chelsea has finally agree a deal for german international andre schurle from bayer 04 leverkrusen!this we'll be mourinho first signing.source bbc sport,
more to follow;
The Council for East and Central African Football Associations (Cecafa) has replaced the three teams that pulled out of the forthcoming Cecafa Kagame Club Championship in Sudan.
Kenyan ch...
Muandaaji (Producer) wa kipindi cha CNN World Sport bwana Harry Reekie, anaandaa documentary kuhusiana na ubaguzi wa rangi kwenye soccer na hapa kuna makala yake kuhusiana na tatizo hilo.
Pitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.