Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli.
Katika kipindi hichi ambacho Watanzania...
Please find below the fixtures. All kick-off times are 3pm, unless stated. Please note these fixtures are subject to change.
TIMU IPI ITAKUWA CHAMPION KATI YA Man U au Man City au Chelsea au...
Hallow Viewers !! Watch live streaming online free just here & U on right place now just in this site.Welcome to join the sports Japan vs Italy live stream free watch online TV 2013.Watch live...
Ukishakua karibu na uwanja huu hasa ukiwa ndani ya uwanja suala la network katika mitandao ya simu hua inakata kabisa. Kumpata mtu kwa simu aliyepo uwanjani huwa ni shida kubwa sana. Sasa sijui...
Beki mpya wa Simba SC, Issa Rashid 'Baba Ubaya' akiwa amepanda pikipiki maarufu kama Boda Boda, baada ya mazoezi ya leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam akirejea nyumbani...
Wacha tutandikwe MABAO MENGI maana watu wanashindwa kufanya DELIBERATIONS za mambo yanayowasibu watanzania wanahangaika na kuita wachezaji Ikulu kula nao chakula. Eti wanapelekwa bungeni, wabunge...
Wakat Nchi nyingne za wenzetu wakiwekeza katika soka cc huku kwetu bdo kabisaaaa nasema hvyo kwa sababu ukiangalia katika mechi ya jana kati ya Taifa star na Ivory coast jezi wa wachezaji wa Taifa...
Tukio la kupigwa mabomu kwa watoto na kina mama huku arusha na vyombo vya serikali kutoonyesha empathy kwa waathirika ni laana kubwa ambayo itaitafuna timu yetu ya Taifa leo hii.
TBC ilishindwa...
juzi nilitoa mawazo yangu juu ya mechi kati ya stars na ivory coast,kuwa hatuna uwezo wa kuwafunga nilizodolewa,mala ushindwe na ulegee kwa jina la yesu!nadhani ukweli umeonekana,na wengi wenu...
Kumetokea tukio la Bomu Arusha lakini wachezaji wa Staz ata kusimama Dk 3 kuwakumbuka marehemu wameshidwa au ata kuvaa vitambaa veusi..ii mbaya sana kwa Taifa letu
Tumewaona Stars ikiishia njiani katika mbio za kinyang'anyiro hicho cha kombe la dunia... serikali na TFF iliamua kuunda kamati ya ushindi baada ya kuiona stars ikiwa katika hali nzuri...
Msiwa wajinga jamani timu kama timu ya mpira tumeiona ikicheza ile sio rushwa wala ufisadi so acheni ku-compare Taifa stars na CCM vijana tumewaona wakihangaika sio wakina lowasa wenye account za...
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.