Rais huyu ndugu Ravina amesema kwamba Zanzibar tayari wana ZFA na au Tanganyika waunde chama chao na kuiacha TFF ishughulike na timu ya taifa, pamoja na kurudisha ligi ya Muungano ili iweze...
Kukiwa na mchakato wa kumnasa mshambuliaji mganda 'MOSES OLOYA'wa uganda na HUSENI JAVU wa mtibwa,tayari Yanga imemnasa golikipa kutoka club ya AZAM DEO MUNISHI 'DIDA'na kumsainisha mkataba wa...
Naona huyu binti amekuwa gumzo mpaka The Sun wamemkubali.....
http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/4980702/Tanzanian-ladys-football-skills-are-an-online-hit.html
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 26, 2013 SAA 1:00 ASUBUHI
MLINDA mlango nambari moja Tanzania, Juma Kaseja Juma amehitimisha miaka yake tisa ya kuitumikia klabu ya Simba SC baada ya klabu hiyo...
Pamekuwa na IMANI kuwa kikosi cha soka cha Brasil kikiwa bora msimu wa fainali za kombe la dunia basi hakifiki nusu fainali kwa kutolewa. Kwa muonekano huu wa kutupa raha na burdani shabiki wake...
"Wadau wengi wanataka Simba ibadilishe uamuzi wa kumtema Juma Kaseja kwa vile bado ana uwezo mkubwa na ndiyo maana ninahodha wa Taifa Stars."
Dar es Salaam.Baadhi ya wadau wa soka, wamekosoa...
Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa.
Wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza...
Wana JF
Mwenzenu nina safiri away of my home na soccer ni ugonjwa hebu naomba msaada ni link gani naweza ona live hizi game za confederation cup kwa stage hii ya robo fainal? nisingependa kukosa...
mi nasema hivi Messi na Ronaldo si wanajishaua kuwa ni wafungaji wazuri??....
sasa Ramadhan hiyo hapo inakuja...ntawaona.
Wafungaji wa ukweli ni akina Samir Nasri, Yaya Toure, Demba Cisse...
Miongoni mwa wachezaji ambao wameonekana kuwa tishio sana kikosini Simba pale Kinesi kwa sasa ni pamoja na;
Sino Augustino kutoka Prison ya Mbeya, huyu ana wajihi kama wa Ngassa ilala yeye ana...
Wadau tangu wiki mbili zimepita nimeshuhudia vipaji vizuri sana kutoka kwa wanafunzi wa secondary zetu Tanzania, kiukweli kama vijana hawa wataendelezwa watafila mbali sana kimichezo. Binafsi...
Khadija Mngwai na Joan Lema
SHAUKU ya mashabiki wa Yanga ya kumuona kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa akivaa tena uzi wa Jangwani huenda ikapotea baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Huyu jamaa Madrid wamemuingiza mkenge?
alikuwa na uhakika wa kazi Madrid akatagaza kuacha PSG
sasa Madrid wanamchukua kocha wa Beyern naona
najiuliza huyu mzee ndo atakuwa kaingizwa mjini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.