Shaffih Dauda in Sports.: PICHA ZA SIKU: MASHINDANO YA MAGARI YA GHARAMA YASIYO RASMI YA WACHEZAJI WA MAN UNITED: ANDERSON KIBOKO AINGIA MAZOEZINI NA GARI LA MILLION 286 kuna watu wanapata pesa za...
Huu no uongo na utapeli ulio kubuhu......Ni lini Rage ataacha utapeli huu?.....Inasikitisha sana
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU SHOMARI KAPOMBE KUTAKIWA NA FC TWENTE HUU HAPA!
Kwa wiki kadhaa...
Kwa wale wapenzi wa mchezo wa tennis naomba tujumuike kubadilishana mawazo wakati huu the only grand slam inayochezwa kwenye majani ikiendelea....
tayari surprises zishaanza kwani Rafael Nadal kwa...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Mrisho Khalfani Ngassa ni miongoni mwa wachezaji walioanza mazoezi leo asubuhi katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola kwa ajili ya...
Kikosi kamili cha Brazil wakati wanatwaa Kombe la Dunia kwa mara ya mwisho 2002 Korea Kusini/Japan kilikuwa hivi: Brazil
Nr.
Name
Date of Birth
Position
Clubs
Height
1
MARCOS
04/08/1973
GK...
Sio jambo la kuficha lakini ukweli ni kwamba usajili unaofanywa na Yanga katika miaka ya karibuni lazima aangalie Simba kuna wachezaji gani wanaowafaa aidha mchezaji aliyekuwa/aliyepita Simba ana...
Wapenzi na mashabiki wa footbal mambo ndivyo yalvyokua ucku huu wa leo, brzl kamuonesha spain uwezo kwa kumbugiza 3 mtungi mbele ya viungo wake xv na iniesta hi inafungua ukurasa mpya kwa soka...
fainal ya kombe la kagame inafanyika usiku muda wa saa mbili na nusu kati ya vital'o ya burundi na apr ya rwanda . wasudani wameanda alaiki ya kufungia mashindano inapendeza kweli siwai kuona...
Ndugu zangu Watanzania ni mda mrefu toka timu kubwa mbil Tanzania zimeanzishwa lakin mi naona hazina mipango endelevu zaidi ya kunga'anga'niana wachezaj na kuwasajir uwanja wa ndege! Hivi tutatoka...
Kwa sasa Brazil wamerudi kwenye zama zao za soka na Hispania wamepotezwa leo. Brazil imekuwa bingwa wa kombe la mabara baada ya kuifunga Hispania kwa jumla ya magoli 3 yaliyofungwa na Fred (2) na...
=
=
Patashika : Kombe la Mabara litaitikisa Dunia leo, timu ya Brazil na Hispania, wanakutana katika mchezo wa fainali ya kombe la mabara.
Brazil imetua kwenye michuano hiyo kwa tiketi ya...
Hivi Shaffih Dauda huwa ana matatizo gani? Ijumaa tarehe 28/6/2013 nikisikiriza Sports extra nimemsikia akisema kuwa viongozi wa kilabu cha Simba wamemdhalilisha Kaseja ( wamemfanya kama tambala...
aly win 3-2 on penalt
Italy beat Uruguay on penalties after an entertaining affair to claim third place in the Confederations Cup.
Davide Astori put Italy ahead when he tapped home on the line...
Kenya humiliate poor Phillipines
Kenya's Felix Ayange in a past assignment. Ayange was in imperious form as Kenya crushed Phillipines 45-5 in their opening Sevens World...
Show kali inaendelea inayoshehen wasanii mastaa wa bongo inayodhaminiwa na TIGO.Wapo akina DIAMOND,RECHO,MADEE,ROMA na wengine kibao!Roma na Madee wamebamba kinoma!
Uwanja umejaa kinoma.
Mwenye nafasi achek eng u 20 v egy u 20 now live.Egypt wako saf sn mpaka muda huu game wameitawala vzr.
My take:Km egypt wana u 20 nzuri hivi baada ya miaka michache watarudisha timu ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.