Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mwenyekiti wa klabu ya Simba alipanga kufanyika kwa mkutano mkuu wa klabu yake mwezi huu wa July, nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari ili nisikie tarehe iliyopangwa lakini mpaka sasa sijasikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana nahitaji vifaa vya mazoezi ya Gym.Kama kuna mwenye kufahamu namna ya kuvipata tafadhali anijuze.Nahitaji zaidi used nimeambiwa vipya vingi ni famba. Kama nikipata picha na bei itakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumapili iliyopita nilibahatika kuwa ndani ya msafara mahususi uliozunguka na mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete. Ingawa msafara huo ulihusu michezo na mpira, uliwakutanisha pia baadhi ya Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ktk mechi ya wabunge tamasha la Matumaini Yanga wamepata penati 4 Simba 3. Hongereni Yanga japo mi mshabiki wa Simba Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefurahishwa sana na kufarijika kupita maelezo kusikia kwamba uongozi wa Simba SC umeamua kuachana kabisa na mchezaji wao golikipa Juma Kaseja Juma.....na nimatumaini yangu kwamba uongozi...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mwaka wa young africa huu,Simba kapakatwa kwa penati 4 kwa 3!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Kama kawa tayari nimetua ndani ya Jiji la Mwanza (Rock City) ambapo Mabingwa wa Tanzania ambao juzi tu wamekbidhiwa zawadi za Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani...
1 Reactions
126 Replies
10K Views
Ni mechi ya kirafiki baina ya mabingwa wa soka Uganda KCC na mabingwa wa soka Tanzania Dar yanga Afrika, ngoma nzito bado moja moja.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Wana Simba wafuatiliaji, najua kwa hii picha mtakua na tafsiri yake pana tena ya kina na vina
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Simba na Yanga ni timu kubwa hapa nchini ambazo zina washabiki weng pia.Wachezaji weng watanzania wamekua na ndoto ya kuchezea katika timu hizi kubwa.Wachezaj ambao wameshapata nafas ya kucheza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Alifunga Hat-trick mara 92. - Alifunga magoli manne mara 31. - Alifunga magoli 5 mara 6. - Na mara moja akafunga magoli 8 ndani ya mchezo mmoja. - Amefunga jumla ya magoli 1,283 ya ubora wa hali...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nyota wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA), Mtanzania Hasheem Thabeet Jina la mcheza kikapu nyota wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA), Mtanzania Hasheem Thabeet lilijitokeza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kile kinachoaminiwa ya kwamba Brasil ni Taifa lenye washabiki wakubwa wa soka magwiji hawa wamekutana na kutokubalika kwa raia wa Nchi hiyo baada ya Ronaldo De Lima kukubaliana na serikali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
When the Premier League started in 1992, it included just one footballer known to be Muslim, Tottenham's Spanish midfielder Nayim. England's top division now features 40 Muslim players and...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Arsenal's heavyweight stars returned to training this morning with Arsene Wenger's side striving to be in perfect shape ahead of the new season. With the Gunners heading into the campaign looking...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
"109Nafasi ya Tanzania mwezi uliopita. 121Nafasi ya Tanzania mwezi huu." Dar es Salaam.Kipigo ilichokipata Taifa Stars kutoka kwa Morocco na Ivory Coast imeishusha Tanzania kwa nafasi 12 kwenye...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Baada ya kutwaa Kombe la Mabara,Brazil imepaa toka nafasi ya 22 hadi ya 9 katika msimamo wa viwango vya soka ulimwenguni.Hii ni kwa mujibu wa viwango vipya vya FIFA vilivyotolewa leo. Kumi bora ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mlinzi wa kati timu ya Yanga Kelvin Yondani ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mpira wa miguu nchini kwa msimu wa 2012/13 na kiasi cha pesa mil 5 katika sherehe iliyofanyika jana usiku katika...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ikiwa imebakia mwaka mmoja hivi kabla ya Fainali za Kombe za Dunia kuanza, macho ya wapenzi wengi wa soka duniani yataelekezwa huko Brazili kwa ajili ya FIFA Confederations Cup 2013 inayoanza...
4 Reactions
374 Replies
28K Views
FIFA/Coca-Cola World Ranking Procedure The basic logic of these calculations is simple: any team that does well in world football wins points which enable it to climb the world ranking. A team’s...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom