Leo,Rais wa TFFNdugu Leodgar 'Chilla' Tenga ametangaza Kamati mbalimbali zitakazotawala ndani ya TFF. Katika Kamati zote,Wanasheria wameteka kuanzia Uenyekiti hadi ujumbe wa kamati husika...
Yale mashindano ya Ligi ya jimbo cup maarufu kama Kagasheki Cup yanayodhaminiwa na Mbunge wa Bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki yameanza kutimua vumbi leo katika uwanja wa kaitaba mjini Bukoba...
Fifa president Sepp Blatter is determined to switch the 2022 World Cup to the winter because of the intense Qatar summer heat.
The head of world football's governing body plans discussions over...
Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA) juzi kiwewatangaza wachezaji bora wa soka katika msimu ulioisha huku Amri Kiemba (Simba) akiwa mchezaji bora wa ligi msimu 2012-13,wengine Salum...
There is no doubt tour de france is greatest and most prestigious cycling event ,with riders cycling over 5000 km in two weeks gruelling battle.
Britain is set to win race again, Wiggan having...
KLABU 4 huko Nchini Nigeria
zilikutana kwenye Mechi za
Mchujo ili kupanda Daraja na
kufungana Bao 79-0 katika
Mechi moja na nyingine kwisha
67-0 Matokeo ambayo
yamesababisha Klabu zote...
jamani ndg zangu poleni na majukumu ya kutwa. Jamani kuna filamu moja ya ki nigeria inaitwa for better and for worse, imechezwa na emeka ike pamojana gennaviv naj, pia yumo yule mzee aliecheza na...
kama simba na yanga zingekaid agizo la serikali basi wanasoka tungekua na msiba mzito kwani njama za kuzishambuli zilikuepo na zilipangwa kutokana mgogoro unaoendelea billateral conflict ni vyema...
BAADA YA TAIFA STARS KUPIGWA 1-0 NYUMMBANI NA UGANDA, MBUNGE AGEUKA MBOGO......ASEMA YEYE NI TWIGA STARS NA SIO TAIFA STARS...!!
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mara, Ester Bulaya, Jumamosi...
Tyson Gay and Asafa Powell: Olympic sprinters fail drug tests
US sprinter Tyson Gay and Jamaica's former 100m world record holder Asafa Powell have failed drug tests. Gay, 30, the...
Ninasikitishwa na matokeo tunayoyapata.Tunafahamu kwamba mpira una matokeo ya aina tatu yaan kushinda,kufungwa au sare lakini km tunataka kusonga mbele kwanza lazima tuweke mazingira ya namna...
SUNDAY, JULY 14, 2013Xavi afunga ndoa na Nuria
Kiungo wa Barcelona Xavi akifurahi na mke wake Nuria baada ya kufunga ndoa leo
Baadhi ya wachezaji wa Barca aliokuwepo kwenye harusi...
Tanzania imekuwa ni nchi ya utani na mambo makubwa. Inasemekana sehemu kubwa ya wachezaji WALIFUNGA RAMADHANI!!!! Ni utani. Funga na mpira WAPI na WAPI?
kuna umuhimu wa kuendelea kushiriki mashindano ya kimataifa au tukae nje miaka 3 au minne tujipange na tubadili na mifumo yetu ya uendeshaji wa soka hapa nchini DANGANYIKA
Yule jamaa aliye tembea kwa miguu toka Mbeya mpaka Dar amesababisha morale ya wachezaji na mashabiki kuhudhuria kiduchu Taifa na uzalendo kupotea kabisa na kujikuta Stars ikilala moja bila dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.