Saturday, July 20, 2013
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano...
mpira we2 wa Tanzania
kuwa na mafanikio ni
ngumu xana, 2na dhambi
kubwa wala ha2ijali
kuitubu, kuwatenga
waZANZIBAR et wao wana ligi yao na sis yetu afu Timu
ya Taifa hamna mchezaj...
Salam Ndugu Wanasport.
Kufuatia marekebisho ya katiba ya TFF hivi karibuni leo kamati ya Utendaji imetangaza majina ya wateule mbalimbali katika kamati hizo.
Miongoni mwa wateule hao ni Jaji...
Hiv kwanin tuendelee kulia na tatizo la uhaba wa washambuliaji wakt inaonekana ni janga la kitaifa! TFF hiv kwann tusifanye umafia wa kuishawish serikali itoe urai kwa wachezaji wa kigen ambao...
Klabu ya simba imekuwa katika mwenendo mbovu katika msimu uliopita na mpaka sasa,tatizo kubwa ni uongozi uliopo madarakani ukiongozwa na mwenyekiti Rage.Amekuwa mtu maneno mengi pasipo...
Hivi ni kwanini mashindano haya ya african cup of nation,world cup na euro hapa tanzania hayaonyweshi kwenye tv za bure kama itv,startv,tbc??
Kwa nchi kama England mashindano haya yanaonyeshwa...
baada ya kushinda tenda ya kuonesha ligi kuu tanzania..baada ya kuishinda super sports ya afrika kusini
kila timu kupewa mil 100....
NB:kumbe azam tv wako vzr zaidi ya super sports..?
kwa maana...
Yanga baada ya kufanya vibaya katika mechi za majaribio huko Kanda ya Ziwa, yaamua kujipima nguvu na timu isiyojulikana katika Ramani ya Soka kutoka Nigeria, kwa tetesi zilizopo ni kwamba ni timu...
Mchezaji wa Simba sports club anyimwa pesa ya matibabu ya goti,Ni Kigi Makasi,Ilikua akatibiwe India,lakini baada ya kuona danadana za uongozi wa Simba zinazidi ameamua kutimkia kwa waganga wa...
Masaa 48 yajayo kiungo wa Barcelona Fabrigas atamwaga wino kutumikia MAN U,wakati huo huo kocha wa Barcelona Tito Vilanova(44)amefunguka kwamba anaachia ngazi kuinoa timu hiyo kutokana na maradhi...
Wakuu kwanza napenda niwapongeza Azam pamoja na simba kwa kuweza kufanya mikataba ya kibiashara jana yaani ya kuitangaza simba katika kipndi cha Azam Tv kiasi cha shs millioni mitatu hivi...
Mkongwe Trautman amewahi kuwa kocha wa Tanzania enzi hizo. Alikuwa mchezaji wa Man City.
Former Manchester City goalkeeper Bert Trautmann passes away, aged 89 | Mail Online
The Premier League is pleased to announce that Al Jazeera Sport has been awarded the exclusive broadcasting rights in Middle East North Africa for all 380 Barclays Premier League matches per...
Official: Bayern Munich confirm the transfer of Barcelona midfielder Thiago Alcantara (22), for whom they pay 20M #fcblive
RT @barcastuff Bayern explain they pay 20M of Thiago's 25M transfer...
Leo yanga ilikua icheze na timu ya nigeria iliyo ialika lakini cha kushangaza yanga imegoma kupeleka wachezaji uwanjani.
sababu walio itoa ni kwamba hiyo timu iliyo kuja ilidanganya kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.