Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Vilabu vikongwe nchini Italia, Juventus Turin, AC Milan na Inter Milan vinategemea kupata upinzani mkali na wa kweli toka kwa club iliyowahi kuwa na mchezaji boro kabisa kupata kutokea dunia hapa...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
=>He doesn’t drink alcohol because it reminds him of the disease that killed his father. =>He hasn’t got any tattoo’s on his skin so he is able to donate blood twice every year. =>Comes from a...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wakuu Leo Taifa Stars ya Tanzania wanakipiga na Uganda The Cranes kwenye uwanja wa Mandela nchi Uganda. The Cranes meet Taifa Stars today Saturday 27 at Mandela National Stadium. Tunaomba wale...
1 Reactions
332 Replies
27K Views
So is the Chelsea boss now using all his powers of soccer’s dark arts to unsettle new Manchester United manager David Moyes? On the face of it, no. Instead he seems to be killing the Old...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Colts new acquisition Adongo learns NFL basics like how to put on a helmet Colts Castonzo, Werner and Adongo: Indianapolis Colts Anthony Castonzo, Bjoern Werner and rugby player Daniel Adongo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni baada ya kutandikwa 3 dhidi ya 1 na Uganda leo kwenye mashindano ya kuwania kufuzu CHAN huko Afrika Kusini mwakani, mambo ni yale yale ya tatizo la mabeki, washambuliaji kutokufunga na kuruhusu...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Leo nimelazimika kupanga kikosi changu ambacho naamini kama kitapangwa hiki,basi mganda lazima akae nyumbani kwao. Kikosi: 1.Juma Kaseja. 2.Erasto Nyoni 3.David Luhende 4.Agrey Morris...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Katika harakati za kusaka nafasi ya kucheza CHAN,nchini Africa kusini timu yetu ya taifa stars kama kawaida yao kuwa ni kichwa cha mbuzi,punching bag,vibonde,imelaaniwa,tia maji tia maji,mchuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huwa nikiyatafakar maisha wakat mwmgne napata faraja sana ya kutokata tamaa kabisa. Mwaka 2004 nikiwa Pre form 5 pale Makongo Sekondary jamaa alikuwa pale pia, mara nying nilikuwa namkuta Kantini...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Match hii ya utangulizi wa Bundasliga inapigwa leo kati ya miamba miwili ya German, B.Dortmund Vs B.Munich. Pep atapata mtihani wake wa kwanza na kuonja radha ya Bundasliga wakati Klopp akitaka...
1 Reactions
121 Replies
6K Views
Hakiyamungu haka katimu sikapendii! tena leo ndio kanazidi kuni karahisha yani kamewakamata wendawazimu muda huu kanawakandamiza tu. Yani mpaka muda huu wanaongoza goli nne (4) bila. kwasasa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hopefully watakainunua wataleta mabadiliko tumechoka kusubiri vikombe Liverpool say 'there is no truth' in reports the club is for sale | Football | guardian.co.uk
0 Reactions
1 Replies
833 Views
hadi kufikia sasa klabu ya Yanga imefanikiwa kukamilisha kusajili idadi ya washambuliaji 8 ambao ni jerry tegete, kavumbagu,saidi bahanuzi, shabani kondo, lusajo, husein javu, hamisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zisizo rasmi zinasema mmiliki wa klabu ya soka liverpool ameitangaza kuiuza kwa dau la kuanzia paundi 350 millioni !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi timu walikuwa waingie ligi kuu,wakahonga ili wapite kirahisi mana ilikuwa mechi za mwisho Nigeria: 146 Goals Scandal - NFF Hands Life Ban for Police Players, Others An investigative...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
leo kunamtanange wa kukata na shoka pale wanapokutana barca na bayern....barca inaingia uwanjan ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa goli 7-0 kwenye nusu fainali ya UCL JE BARCA LEO ATACHOMOKA KWELI...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
klabu ya soka ya atletico MG ya Brazil imeibuka na ushindi wa penati 4 dhidi ya 3 za klabu olympia katika fainali ya ligi ya Mabingwa huko America ya kusini...Huku Gaucho anaechezea Atletico...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakika nawaambieni yule mchawi wa soka karudi mtakatifu Gaucho anapiga vyanzu vya kutosha anapiga vyobo tani 800 anadrible umbali wa dar mwanza nawambieni 2014 mchezaji bora wa mwaka brazili 2013...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Back
Top Bottom