Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kitendo cha Emmanueli Okwi kugoma kurejea Tunisia kukalia benchi kunamfanya Mrisho Ngassa aonekane mwenye busara zaidi na aliyeona mbali. Sasa Okwi inasemekana yuko radhi mkataba wake uvunjwe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunaamini nchi ya Brasil ni mahiri mno kwa soka na ndio maana watu wengi huipenda timu yao ya taifa hasa mie. Jambo linalonishangaza ni kuona hivi karibuni vilabu vyao vikicheza na vilabu vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chukulia we ndo ungekuwa kocha au owner wa timu kama West Ham United au Sunderland au Newcastle any team ya EPL kasoro zile big 6... na una bajeti ya dollar milioni 40 kusajili ungesajili nani na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanamichezo !! Habarin za Asubuhi!! Kuna swali nimeulizwa hapa, Eti Nipe tofauti kati ya FOOTBALL and SOCCER!!
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Ni match ya maandalizi ya msimu mpya, karibuni taifa muone vifaa vya yanga vilvyopikwa kutoka la masiah ya jangwani.
1 Reactions
97 Replies
10K Views
Mourinho announced the11 players to start the first half is as follows: Petr Cech, Wallace, Tomas Kalas, John Terry, Ashley Cole,Frank Lampard, Michael Essien, Lucas Piazon, Kevin De Bruyne...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Ni kama dhalau fulani hivi lakini ndio ukweli.Timu ya Daraja la pili ya jijini Doha nchini Qatar imetoa offer yao kwamba inamtaka kwa $2,000 tuu! Ninamaanisha dollars elfu mbili za kimarekani!
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakiwa wamebakiza nafasi ya mchezaji mmoja wa kigeni,mabingwa wa zamani wa africa mashariki na kati na mabingwa wa tanzania Yanga,wamemtumia ticket ya ndege mshambuliaji mwenye kasi kubwa uwanjani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Amefahamika kwa jina la Idrissa Ngulungu. Alikua akienda msibani Kisaki,tairi ya mbele ya gari alimokuwemo ikachomoka na kusababisha kifo cha mwanandinga huyo wa zamani wa coastal union pamoja...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika ukurasa wake wa Twita, Kiungo mahiri wa timu ya Simba na timu ya Taifa Mwinyi Kazimoto amewaomba radi Watanzania wote kwa kosa la kutoroka katika kambi ya timu ya Taifa, Namnukuu hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
NBG (Nederlands Baogenootschap) pamoja na KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Sita ya Mchezo wa Bao Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi. Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wayameni, nyepesi nyepesi zinadai wakati timu ya taifa ilipokwenda Moroko na Uganda. Kuna mwandishi wa michezo(jina kapuni) alifanya mambo ya ajbu saana kwa mwanaume. Inasadikiwa alikuwa akimfulia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vyombo kadhaa vya habari vimemripoti Naib Waziri wa Wizara inayoshughulikia michezo akikosoa uteuzi wa Kamati ya TFF ambayo huenda itahusika na kusikiliza rufaa ya Jamal Malinzi iwapo atagombea...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Kuna habari imeandikwa katika gazeti hili la michezo,inahusu ligi ya Kamwambale ktk JIJI LA MBEYA. Ukweli ni kwamba hii ligi ilikoma tangu mwezi wa kwanza mwaka huu na mshindi ilikuwa timu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
With the presence of Torres, Ba, Moses, Lukaku amid the 'three Amigos'.. I don't really think Rooney is of any necessity to the Chelsea team. What do you think
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mtanzania aliyekulia katika mazingira magumu, Hamisi Kondo ametawazwa bingwa wa mchezo wa kuruka kamba duniani. Kondo ambaye ni yatima, amewasili nchini Tanzania kutoka Marekani alikoshiriki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kama filamu vile. Ndio habari ya mujini kwamba Yanga wameigomea TFF kuhusu mkataba wa kuwaruhusu Azam media kuonyesha mechi za ligi kuu. Lakini habari za hivi karibuni ni kwamba TFF wamekana...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nakumbuka kwenye miaka ya sabini serikali ilipiga marufuku vilabu (hasa Simba na Yanga) kuwa na matawi, lakini hivi sasa naona kasi ya uundwaji ikijitokeza kana kwamba ni vyama vya siasa. Wito...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kauli aliyoitoa mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakati akizungumzia mkataba wa uuzwaji wa haki za matangazo ya TV ya mechi za ligi kuu Tanzania,baina ya kamati ya ligi/TFF na Azam...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Man Utd locked in Ronaldo talks with Real Madrid Mind you, the Daily Star carry a clue this morning as to another reason why Rooney may want to hang around Manchester: his old chum Cristiano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom