Mie hupenda kusikiliza kipindi cha michezo hasa radio 'Clouds'. Jumapili iliyopita katika kipindi chao cha michezo saa saba mchana walijikita katika uuzaji wa wachezaji na kusangaa kuwa klabu...
Mgogora uliopo kati ya serikali na TFF umechukua sura mpya baada ya shirikisho la kabumbu dunia(FIFA) kuiandikia barua TFF kusudio la kuifungia Tanzania endapo itathibitika kuwa serikali imekuwa...
Sakata la malumbano yanayoendelea baina ya serikali na TFF KUHUSU KATIBA yanazidi kuchukua nafasi siku hadi siku....sielewe TFF inataka nini? na inatoa wapi huu musuli wa kuichezea serikali hii...
Mimi mwenzenu wikiendi ya soka ilikuwa ni kicheko tu....
1) Yanga 1 Toto 0 (chachandu yake Azam 1 Polisi 1)
2) Liverpool 3 T Spurs 2 (within 7 pts kuingia kwenye top 4)
3) Suarez...
MODS sijui kwa nini mliiondoa post yangu ya awali. Kama tunapiga kelele juu ya freedom of expression humu jamvini lakini tunashindwa kuipractise (failing to walk the talk), hiyo ni double standard...
Hay wanamichezo wenzangu
bado mko fiti hakuna aliyejidhurukwa chochote kilichotokea jana.
maana usiombe ardhi itokeze nje
mambo ya jana yaliyokuwa ya aina yake pale mtu mzima anayejidai na...
Kadi nyekundu aliyopewa Luis Nani katika mchezo dhidi ya Real Madrid ilikuwa nongwa. Manchester walichapwa 2-1 nyumbani kwao Old Trafford na kutupwa nje ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya...
Mabingwa watetezi Simba, leo wanashuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwakabili Coastal Union katika mechi ya Ligi kuu ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwani Simba watakuwa...
Mechi ya leo 10/3/2013 kati ya Simba Vs Coastal union na Simba kushinda 2-1 NADHANI KUNA SOMO FULANI AMBALO TUNAWEZA KUJIFUNZA. Sizungumzii kupongeza ushindi bali nataka kuzungumzia aina ya...
Wekundu wa msimbaz wamezuiwa kutoka kwenye hotel ya Sapphire court ya kkoo had walipe deni,Simba walikua wanatoka kwenda kuwavaa coastal union.
Viongoz wanahaha kuitoa timu iwah mechi...
mwaka jana tulijionea wote red card ya vincent company baada ya sliding tackle kwa louis nani (the irony.. yeye ndo kala card this time round :smile-big: ) na penalty juu katika michuano ya FA 3rd...
Man Utd baada ya kufungwa na Madrid nyumban, leo hii tunapunguza machungu yetu kwa chelsea. Kwa kuwa refa mwenyewe ni wetu bhas tunauhakika wa kupatd penalt kama mbili. Chelsea mpoo!
Huyu jamaa angekua kule kwetu wengi wangesema anatumia juju!!
Hopkins Creates More Boxing History
The Old Master Beats Cloud,
Bernard Hopkins proved yet again that age is just a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.