Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
1.Ally Mustafa 2.Godfrey Taita 3.David Luhende 4.Mbuyu Twite 5.Kelvin Yondani 6.Athumani Idd 7.Saimon Msuva 8.Frank Domayo 9.Jerson Tegete 10.Hamis Kiiza 11.Haruna Niyonzima Subs...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
Howard Webb will referee United's FA Cup QF against Chelsea on 10th March at Old Trafford.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu namfikiria Michael Ludrup wa Swanswea city, hii ni kutokana na style yake ya mpira anaofundisha. Naomba tu base sana kwa makocha wanaofundisha EPL sababu najua wanauzoefu na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu ni uwanja wa majimaji hapa ni mechi kati ya majimaji na JKT mlale. Timu kubwa tumieni uwanja huu mapato yake yanaridhisha ukilinganisha na viwanja vingine kwa mashindano haya ya ligi daraja la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwa najiuliza nini hatuna ambacho kinatufanya tushindwe kushiriki kombe la dunia?je tatizo ni kukosa vipaj au uwekezaj duni katka soka au tatizo ni uongozi.nini hatuna katika hili?wana jf naomba...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Wajameni Chama letu la Jiji la MWANZA LIANELEKEA KUSHUKA DARAJA please toa mchango wako juu ya nini cha kufanya kuisaidia timu letu liisshuke.Na ikinusulika toa mchango wako wa mali na hali ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kumpa Ronaldinho Gaucho nafasi nyingine ya kuuonyesha Ulimwengu kile alichokionyesha kwenye medhi dhidi ya Uingereza kwenye Kombe la Dunia la 2002, Kocha Philipe Scolari almaarufu kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
nasema siipendi arsenal - siku itakayoshuka daraja roho yangu ndo itatulia.. Nawaombea bayern munich waweke historia ya magoli kwa timu hii next week
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Nimepokea kwa furaha kuu kujiuzuru kwnu... uamuzi huu mmechelesana kuuchukua... Mmekuja simba na kupewa uongozi nyadhifa kubwa bila kuwachunguza kama kweli mlistahili nyadhifa hizo au ni...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kuna sehem kqwnyw baibo anasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo;;;LEO NAMSIKIA KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA JULIO KUJIFANANISHA NA TAULO LA HOTELINI KILA MTU ANAFUTIA HATA AWE CHIZI;JULIO...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Kama kichwa cha habari kisemacho mwanamuziki chris brown amekamatwa ghana na bangi kabla ya onyesho ;kwa habari zaidi soma millardayo.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Former Manchester United captain Roy Keane believes referee Cuneyt Cakir "made the right call" when he sent off Nani in Tuesday night's Champions League battle with Real Madrid at Old...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa kamati ya usajili na Friends of Simba Zacharia Pope,amejiuzulu vyeo vyote Msimbazi.Naona bundi ndio anaanza kulia kwa wazee wa libolo. source:bin zuberyblog
1 Reactions
34 Replies
4K Views
habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Timu ziko uwanjani, mpaka dakika ya 09 bado ni bila bila. Nitatoa taarifa zaidi na matokeo jumla. Wenzangu wa MAN UTD nipeni moyo wakuu.
0 Reactions
158 Replies
10K Views
hvi ndivyo walivyokuwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
haya wanafiki waongee sasa kuhusu hizo dangerous play
0 Reactions
4 Replies
1K Views
siku moja nikiwa katika stendi ya mabasi nyegezi mwanza kumpokea mgeni pale tulikuwa vijana wanne mm nikiwa shabiki wa arsenal na mwingine wa man u halafu wale wawili wakasema hivi mmoja mm...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Lets Make a deal. nadhan wengi wetu kama si wote tunakumbuka ile timu iliyowafunga simba kwenye klabu bingwa Africa inataka isajili.je uko tayari kuchezea LIBOLO, kama uko tayari kuchezea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nipo leo uwanjani hapo kuwaletea matukio yote yatakayojiri katika 90dk zote. Mpaka sasa timu zote zimeshaingia uwanjani na mpira umeshaanza huku matokeo yakiwa bila bila.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom