Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kama kuna mtu mwenye matokeo ya simba na libolo naomba anipe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Arsenal inaingia Dimbani leo kupambana na ngoma ngumu barani Uropa yaani Bayern Munich kutoka Bavaria Ujerumani. Arsenal ikiwa na kumbukumbu mbaaya zaidi kwa kutolibeba kombe la klabu Bingwa...
2 Reactions
203 Replies
12K Views
Simba yapokewa na libolo tayari kabisa kwa kutawanishwa. Libolo wako fiti kuakikisha simba afurukuti. Mpaka sasa simba wana kichefu chefu kwa kipigo walichokipata. Inasemekena mashabiki wa simba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kulingana na habari za leo jumapili katika Magazeti ya Telegraph na The Sun, kikundi cha wawekezaji cha watu wa Mashariki ya mbali kiko mbioni kuweka rekodi ya dunia katika mpira wa miguu kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Tenga atang'oka na heshima au ndio bora tufungiwe!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Azam imesonga mbele Kombe la Shirikisho kwa kuichapa Al Nasri kwa mabao 5-0, huku Simba na Jamhuri ya Pemba zikiogelea vipigo visivyoweza kusahaulika katika michuano ya katika Ligi ya Mabingwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefurahi kumuona huyu jamaa hatimaye kwa mara ya kwanza akicheza huu mpira wa Kikapu. Kaza kiatu Mdogo wetu na hii ndiyo tulikuwa tunakuombea kila siku ufanikiwe. Ni furaha kukuona Mbongo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Wadau tupeane updates leo,mechi inaanza saa9 .Ni mechi ya marudiano itakayofanyika Angola home kwa LIBOlO...KARIBUNI
0 Reactions
230 Replies
23K Views
dk 45 kipindi cha kwanza,Azam inaongoza kwa magoli 2 wafungaji ni John Bocco na Mcha Hamis
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Ni wazi kuwa timu ya simba toka nchini Tanzania ilizidiwa sana kimchezo leo hadi kuzabwa magoli 4 bila ya afadhali. kama mtanzania imeniuma sana lakini nimeumia zaidi kusikia kuwa kama ingepita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanzia mwaka uanze,mambo ya soka yananiendea vibaya sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Barcelonno  imeonekana imekosa sera mpya ndo maana wanafungwa na Real Madrid ambayo inaelekea kufuta uteja toka kwa mahasimu wao kwani wameonekana wanamtagemea sana lionel messi ambaye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi vipigo anavyokutanavo basa ndo kuashiria mwisho wao au ni upepo 2 mambo yatatulia?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ngoja le turudishe heshima ya mtaa wa msimbazi leo! simba 3 vs libolo 1!
0 Reactions
0 Replies
750 Views
hii biashara ya sport betting,inayofanywa na wahindi hususani ktk jiji la dsm,imeshika kasi sana!yaani ktk mabanda ya kuonyeshea mipira/video unakuta kuna mashine kama 2,bado mitaani,utakuta kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Barcelona will not play for a goalless draw in Tuesday's Spanish Cup semifinal return with Real Madrid even though it would be enough after stalemate in the opening leg, assistant coach Jordi...
1 Reactions
128 Replies
8K Views
Kadi nyekundu kuanza halafu inafuta ya njano!? Ni katika mechi ya leo kati ya Barca na Real Madrid.Ni kadi alizopewa golikipa Victor Valdes.Kisoka hii inaruhusiwa? FT Real Madrid [2 - 1]...
0 Reactions
3 Replies
786 Views
Angalia hapa: AC Milan Vs Lazio Live Stream | Watch Online HD cc Gang Chomba Mourinho
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa sio BIG FOUR tena ni BIG SIX 1.Manchester United 2.Manchester City 3.Chelsea 4.Arsenal 5.Tottenham 6.Liverpool(hapa sina uhakika kama liv ana safa za kuitwa "big" SPAIN 1.Real...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Ndugu wapendwa;;;nawiwa kujiuliza hivi clouds fm upande wa michezo ni shaffii dauda pekeee mbona anawabania wenzake hiv;nasema hivi kumaanisha amekuwa akiwasilisha clouds fm sehmu mbali mbali za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom