Leo tena!!!! Wababe wawili wa Ligi Kuu nchi Hispania wanakutana tena katika mechi ya Marudiano ya La Liga ikiwa ni siku chache tangu Real Madrid walipoifunga Barcelona magoli 3-1 kwenye nusu...
Wengi wetu tunamfahamu huyu jamaa kwa vituko vya uwanjani na kwa namna ya uchezaji wake. Kila linapotajwa jina la Maradona, watu akili zao huelekea kwenye soka. Lakini huyu Maradona ana makubwa...
1.Said salim Bhakressa ni mmiliki wa Azam sports club,anakadiriwa kuwa na utajiri unaofikia dola milioni 600 za kimarekani.
2.Regnald Abraham Mengi
Huyu aliwahi kuwa mdhamini wa Dar es Salaam...
Ni aibu kubwa sana kwa jiji la mwanza tukikosa hata timu moja ya kushiriki ligi kuu, hii inatokana na nfumo mbovu wa uongozi amboa unahitikadi za u-ilemela na u-nyamagana, pia mfumo mbovu wa...
Ijumaa na Jumamosi ijayo,timu nne za juu katika Serie A zitaingia vitani kusaka alama za ushindi. Wa kwanza atapambana na wa pili;wa tatu na wa nne.Mambo yatakuwa hivi:
Fri
01/03/13...
Baada ya jana kutoka sare ya 2-2 na Sevilla na hivyo kushinda kwa jumla ya mabao 4-3,timu ya Atletico Madrid imeweka miadi ya kupambana na Real Madrid katika fainali ya Kombe la Mfalme la Hispania...
Juzi nimepita pale kabuni na nikasikitishwa sana na hali tuliyonayo na makundi yaliyo oongezeka pale ..lakini mkitaka kujua nani aliiua mpira wa miguu Tanzania na aliyepeleka kua vilabu kama Pan...
Rafael Benitez has angrily confirmed that he will leave Chelsea in May and described the decision to give him the title "interim manager" as a "massive mistake". He said: "Chelsea gave me the...
Juan Mata,Santi Cazorla na David Silva....hawa ni wachezaji wenye asili ya hispania wanaocheza mpira katika vilabu vya Chelsea,Arsenal na Man city respectively nchini uingereza.Hawa wote...
Hata hasipopewa tuzo ronaldo ni nouma tena namba anayocheza ni ngumu kutoka winga hadi kuwaforwad cyomchezo,anarekodi ya kufunga magoli magumu tena anajituma kwa juhudi na maarifa je nani kama...
Tangu kuanza kwa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara Yanga imecheza takribani mechi tatu za ugenini(nisahihishwe kama nimekosea),katika mechi hizo kafungwa mechi mbili(Mtibwa na Kagera sugar) na...
naangalia taarifa ya habari ya star tv sasa hivi.mtangazaji ametaja matokeo ya mechi za ligi kuu zilizochezwa leo hii lakini mechi ya yanga na kagera haikutajwa kabisa.
STAR TV ACHENI UPUUZI!
Tommorow's El-classico tie between Barcelona and Real Madrid at Santiago Bernabeu will be crucial to each of the teams and mostly for Real Madrid.. Real Madrid are 15 points behind Barcelona in la...
Barcelona imekubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya realmadrid,cristiano akitupia goli mbili huku goli lingine likifungwa na beki chipukizi wa ufaransa rafael varane hivyo kuiwezesha real madrid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.