Mpira muda wowote unaanza uwanja wa Taifa tutakuwa bega kwa bega na wadau.
Here's Young Africans line-up to face African Lyon today:
1.Ally Mustafa
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: KUENGULIWA KWANGU KUGOMBEA URAIS WA TFF 2013 Ndugu zangu,kupitia vyombo vyenu vya habari ninaomba niueleze umma wa watanzania,hususani wadau wa mpira wa...
.... Zengwe na wingu jeusi limetanda katika anga la soka katika Tanzania..... hii ni baada ya kamati ya TFF kuwaengua baadhi ya wagombea kwamba hawana sifa.. mfano Jamal Malinzi alikuwa katibu...
Heshima Kwenu Wadau..
Nina imani Wengi tumeona Beki wa Nigeria Ambrose alivyokimbiza kwenye AFCON.. Na kuonesha yupo serious na Soka Alisafiri jumatatu Straight From South Africa to Glasgow...
Sherehe za kufunga AFCON 2013 ndo zinaendelea....
Performance ni nzuri sana....
Match imekwisha na Nigeria ndiyo mabingwa wapya wa Afrika kwa 2013...
Final score: NGA 1 - BFA 0
Mod naomba...
Nimeangalia mechi ya fainali ya kombe la Africa 2013 huko South Africa ni katika tathmin yangu kama Bukina Faso wangeandaliwa kisaikolojia kushinda mechi hiyo sasa hivi wangekuwa mabingwa wetu...
Hivi huyu jamaa ameshatabiri nini kitatokea fainali ya leo nigeria vs bukinabe???maana huwa tabiri zake nazisikia kuwa alishatabiri baada ya tukio kuwa lishatokea!this time nataka nijue nifuatilie...
Hello Player,
I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
Hello Player,
I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
Ndg wapenzi wa michezo na hasa soka pia wasomaji wa gazeti la mwanaspoti, kuna huyu jamaa samson mfalila uwa anatabiri mechi za ligi kuu ya uingereza nahisi kama angekuwa anacheza kamari sasa hivi...
Fixtures & Results:
Saturday 19 January 2013
1
South Africa
v
Cape Verde Islands
National Stadium
18:00
2
Angola
v
Morocco
National Stadium
21:00
Results: 0-0 for both matches...
Habari wadau wa JF Sports natumai mu wazima wa afya.. leo baada ya kuingia kwenye email yangu leo na kukuta manchester city wameni wish happy birthday ndio nikakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya...
Wakuu, Kwanza natanguliza pongezi kwenu kutokana na ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Cameroon lakini,safari bado ni ndefu kwani wenzetu Burkina Faso ndo wanacheza fainali AFCON...
Naomba wale wanaofuatilia kwa makini uchaguzi wa tff watupe updates za nani amejipanga viti kumrithi tenga.ikiwezekana aanzishe mtu thread ya kura ya maoni humu jf kati ya wagombea wenye mvuto zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.