HAAAHAAA NAJUA MNAMLALAMIKIA MTU ANAITWA MTIGANJOLA KKWA KUMWONDOA MALINZI
LAKINI NAPENDA NIWAAMBIE NDUGU ZANGU WATANZANIA WENYE KULETA AMANI KWENYE MICHEZO
CHANZO KIKUBWA CHA FUJO HIZI NI...
Wadau wa michezo,
Nimejaribu kufuatilia kidogo harakati za huyu bwana katika medani za soka la bongo, na napenda kutoa pongezi kwake kwa moyo mkubwa alionao katika kutaka kuongoza soka la bongo...
wadau habari zenu bana....
Naomba msaada,juzi nimejaribu kuzunguka mjini lakini nikashindwa kupata jezi original ya Arsenal.Naomba mnijuze duka linalouza hizi jezi za kiwango...
Natangiliza shukran
From bread line to Lakers owner, Jerry Buss left a lasting impact on the NBA
Jerry Buss purchased the Lakers for $16 million in 1979. (AP)
Buss' savvy real-estate investments helped make him...
Wawakilishi wa Tanzania Bara katika Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Simba wamelazwa bao moja kwa sifuri Uwanja wa Taifa. Matokeo hayo yanaiweka Simba katika nafasi finyu ya kufuzu kwa hatua...
Game itapigwa Houston,TX Feb 15 mpaka 17
West wataongozwa na Chris paul kama Captain wa LA Clippers uku East wataongozwa na Dwayane Wade kama Captain-Miami Heat
Western Conference All Stars...
"He says that he doesn't want to fight in the United States because of the high taxes which I can hardly blame him, promoter Bob Arum told ESPN recently. You know, theres a limit to what these...
Kuna mjadara mkali TBC, Maiko Wambura anamchachafya Angetire Oseah-katibu TFF hadi namfananisha na mh. Ndugai alipokumbana na Lissu kwenye kipimajoto akabaki kutoa povu. Uchaguzi TFF umesitishwa...
TFF wameombwa kuwasilisha vielelezo kwa Waziri kama mkutano mkuu ulifanyika wapi na siku gani....
Mdau anasema TFF wamefoji wanastahili kwenda jela
Wambura kachachamaa sana Haki lazima itendeke
Nimepata habari saa hizi kuwa kuna mchezaji wa zamani wa Simba Sports Club enzi ikijulikana kama Sunderland Sports Club, Asmata, amefariki leo hii na kuzikwa leo hii makaburi ya Kisutu aka...
Mdahalo wa Uchaguzi wa TFF unaendelea TBC sasa hivi! wambura anatililika na yuko focused
wachangiaji wako focused tooo lakini nina wasiwasi na katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah
karibuni
Je, ni ya:
1. Ronaldinho dhidi ya Uingereza
2. Stoichkov dhidi ya Ujerumani
3. Juninho...
4. Kalusha...
5. Okocha...
6. Bergkamp
7. Hooidjonk...
8. Pirlo
9. Companero...
10. De Piero...
?
Kutoka katika Facebook ya Shafih Dauda ni kuwa uchaguzi wa TFF na ule wa kamati ya ligi umeahirishwa mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
Taarifa zaidi zitawajia mara zitakapopatikana...
Kumbe ukiisha kisoka kudesa na kutapeli uwanjani ndio dili!
http://uk.eurosport.yahoo.com/video/ronaldinhos-cheeky-assist-212019514.html
Watch the video - Sports UK
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na hii sheria au kanuni ya TFF na FIFA ya kwamba maamuzi yao yote hata kama yataonekana kupindisha haki za mtu,mtu huyo hatakiwi kwenda kwenye chombo chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.