Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Simba Wamemuuza Okwi. $300,000 klabu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia Kwamjibu wa Rage ambae yupo Tunisia tangu jana, anasema biashara imekwisha hivyo Okwi ni mchezaji wa Etoile Du Sahel Ya...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Kwa sasa Mashirikisho na Vyama vya michezo mbalimbali wamekuwa na kasumba ya kuwaajiri walimu wa kigeni kutoka nchi za magharibi na asia kuwa walimu (coaches)wakufundisha timu zetu mbalimbali za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndio wale wapenzi wanaofwatilia mpira wa miguu nchini watakuwa na mimi mpira wa miguu ni moja ya michezo yenye vituko dunian....sina muda mwingi kukaa jamvini labda kwa mliotanzania na hata wale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Thabeet kiwango kinakua na timu yake mpya yaanza kumwamini kuliko timu za awali alizocheza 88 TORONTO RAPTORS 1-3 (Lost last 1) FINAL Team 1 2 3 4 Total TOR 17 21 25 25 88 OKC 30 27 28 23...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Seven times tour de france winner Lance Armstrong appearing on Oprah show admits to using banned performance enhancing drugs in ALL 7 tour wins. Just wondering if rest of tour de france legends...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
"What I will try and do in the future is what I did when I was a player - attack as well as you possibly can, keep hold of the ball and pass it to a guy wearing the same colour shirt." Pep...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
... Kama Ukizingatia wagombea waliojitokeza kugombea Urais TFF na swala la U- Simba na U -Yanga utaona kwamba wote walioomba nafasi hiyo ni wapenzi na wanachama wa Yanga... (Nyamlani na Malinzi)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Man U msimu huu imeshinda mechi 15 ikitokea nyuma (baada ya kuwa wameshafungwa wakasawazisha na kushinda) Miongoni mwa mechi hizo RVP pekee amesaidia kuipa point 25 muhimu ikiwa ni pamoja na...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
16 January 2013Pep Guardiola: Bayern Munich to appoint Spaniard as managerBayern Munich have confirmed that former Barcelona boss Pep Guardiola will take over as their manager at the end of the...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
It's now Gor Mahia's title to lose Gor Mahia's Dan Sserunkuma crosses the ball under pressure from Tusker's David Ochieng during their Tusker Premier League match at Nairobi City Stadium on...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau wa sports, Kufuatia kutangazwa kuanza mchakato wa uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa TFF, Mimi kwa mtazamo wangu naona raisi wa sasa wa TFF bwana Leodger Chilla Tenga anastahili kupewa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nikaona kwenye the Sun hiyo heading. Jumatatu wakati wa utoaji wa awards za ballon' dor Guardiola alikataa mkono wa CR7 na kuna footage jamaa wameweka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAZANI GARAMA NA MIKWARA YA KUPELEKA TIMU NJE KWENYE MAHOTELI MAKARI WANGEZITUMIA KUANZISHA MICHAKATO YA UBIA NA MAKAMPUNI ili kuanzisha viwanja na baadae soka academi sio kwenda kutalii ulaya
0 Reactions
0 Replies
853 Views
13/01/2013 SOURCE; WAVUTI
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wakuu...........Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Arsenal na Man City..... Karibuni sana kwa live updates.......
1 Reactions
220 Replies
17K Views
Salama wakuu...... Leo ndio siku ya watani wa jadi......Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Man Utd na Liverpool..... Karibuni sana kwa live updates.......
0 Reactions
184 Replies
10K Views
Hongereni Man U kwa kuwalaza Liverpool 2-1,Mchezo unaofuata ni kati ya Arsenal na Man City,tuendelee kujuzana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtanange wa kukata na mundu unataraji kupigwa kwenye theatre of dream baina ya United na Liverpool, mnamo mida ya saa kumi na nusu za alaasiri. United wana nafasi kubwa ya kushinda game hiyo kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili ni toleo la mwaka 2013 la sheria za mchezo wa raga kama lilivyochapishwa na shirikisho la raga la dunia, yaani IRB. Kwa wageni kabisa wa mchezo huu, kipo kijitabu kinachotoa mwongozo kwao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom