Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ni club ya Yanga jana ilijitupa kwenye uwanja wa mpira wa ADORA FOOTBALL mjini ANTALYA kumenyana na timu ya daraja la tatu kutoka UJERUMANI. Katika mchezo huo ambao uliisha kwa sare ya goli 1-1...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu taarifa za uhakika toka Zenji ni kuwa Simba imewaduwaza wapenzi na mashabiki wa soka visiwani kwa kuendekeza imani za kishirikina. Siku ya pambano na Tusker, waliingia kwa mstari mmoja...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wana yanga wenzangu nini kimejiri kwenye mechi yetu ya kirafiki leo?!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF, Mimi nasikitishwa na hii television ya ATN. Kwanza kabisa ile ni chanel ya mambo ya dini,lakini kwa tamaa yao ya pesa wamebidi waingie mikataba ya kishetani,kwa mfano wanapoomba kuonyesha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
katika makosa tutayojutia kwa zama nyingi ni kuthubutu kwetu kumpa juma kaseja j to the k,nafasi hii kubwa ya unahodha wa timu yetu ya taifa,taifa stars. Ni kweli kabisa juma kaseja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila mwanachama wa Fifa anapewa kura 3 katika FIFA Ballon d'Or, moja ya Captain wa timu ya taifa, moja ya Kocha na moja ya media, naona Tanzania kocha na Kaptain hawajapiga kura, kura ya media...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dakika ya 28 ya mchezo kati ya Barcelona na Betis imeshuhudia Lionel Messi akiandika REKODI MPYA YA DUNIA kwa mchezaji wa mpira wa miguu kufunga mabao mengi katika mwaka mmoja. Bao la pili la...
3 Reactions
142 Replies
26K Views
Misfit Manchester City striker Mario Balotelli and manager Roberto Mancini were involved in a furious training ground bust-up today. The City boss was seen to grab, shove and gesticulate wildly...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Matokeo ya baadhi ya mechi zilizochezwa barani ulaya wiki hii ni kama ifuatavyo: Chelsea 5 Southamton 1 Man U 2 Westham 2 Yanga 1 Alumnia 1. Tehe tehe teheee.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanza kisoka kama barcelona embu fikiri ikitengeneza all star ya mkoa kwa sasa kuna mkoa wa kunusa? Ina nyota kama maftah,ngasa,kazimoto,tegete,henry joseph,kigi makasi,mweta,bahanuzi,oscar...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Mchezaji wa Simba na Timu ya Taifa Mrisho Khalfan Ngassa amelazimika kurudishwa DSM baada ya kuugua homa ya matumbo Imenikumbusha mchezaji Edgar Davis aiyewahi kufukuzwa kambini baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua hapa ni Chit-Chat hivyo tunaweza ku-chit chat katika hili pia. Matokeo ya baadhi ya mechi zilizochezwa barani ulaya wiki hii ni kama ifuatavyo: Chelsea 5 Southamton 1 Man U 2 Westham 2...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Timu yetu ya Yanga itakwea pipa kesho Jumapili mishale saa 10;35 alfajiri kuelekea Antalya Uturuki, ikiondoka hapa J.K.I.A break ya kwanza Instabull ambapo kikosi kizima kitatua saa 4:50 hapo...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mzunguko wa pili wa Serie A alianza jana.Lakini leo,majogoo ya Italia yalikuwa uwanjani.Matokeo ni kama hivi: Italy - Serie A FT AC Milan...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
La Liga - Russian side 'offered £205m for Messi' An unnamed Russian club triggered Lionel Messi's automatic release clause with a staggering €250m (£205m) bid for the Barcelona star, a report...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
DEMBA BA amekamilisha usajili wake kwenda Chelsea - huku kocha Alan Pardew akisisitiza mshambuliaji huyo ameondoka na baraka zao. Ba, 27, mapema leo alikuwa kwenye mazungumzo na Chelsea baada ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama mjuavyo messi has signed or about to sign a new deal at barca that would keep him there until 2018 why? kwanini asiamue kutest his footballing skills elsewhere? like ac milan/inter or bayern...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Heshima kwenu wanajf! Kama mada inavyojieleza juu. Ni kwamba vilabu vyetu vikubwa pamoja na timu ya taifa vinakasumba ya kuajili makocha wa kizungu wengi wao ni vibabu ambavyo wala havina hata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
29 December 2012 By Emmanuel MugaBBC Sport, Dar es Salaam The second part of the Tanzanian Premier League could be cancelled after the country's tax authorities seized sponsorship money. The...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Back
Top Bottom