Sturridge 23, amefanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Liverpool leo asubuhi mara baada ya jpili kukamilisha vipimo.
Maswali ya mekuwa mengi je ataisaidia Liverpool?
December 24, 2012
RVP controversy: Has Ferguson gone too far?
Manchester United manager Alex Ferguson was furious with Ashley Williams for kicking the ball at Robin van Persie's head.
Alex...
wadau wa soka nimeona niulize hili maana kuna tetesi bongo tuna vijana wengi wanaocheza nje ya nchi lakin hatuna taarifa zao,nimeona nifungue thread hii kwa mtu yeyote anayejua mchezaji wa bongo...
Leo akina Mzee Akili Mali anaonyesha hadharani silaha mpya zilizo sajiliwa Jangwani kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Karibuni Taifa wenye mapenzi mema na Yanga na soka la bongo.
Mpira unaanza saa...
ni tarehe 24 ya Mwezi wa 12...
Gang Chomba shabiki nguli wa soka nakuja mbele zenu nikitaka kujuwa maoni ya kila mmoja wenu atakaejisikia kujumuika katika thread hii, je tangu umeanza kuangalia...
Lakers' Kobe Bryant tells critics to ‘shut up'
Ben Golliver, Dwight Howard, Kobe Bryant, Los Angeles Lakers, Mike Brown, Steve Nash | Comments...
Najua kwa Tanzania miziki ya zamani inaitwa zilipendwa,je kwa kenya ni katitu?
Kama ndo katitu kwa kenya na TZ ni zilependwa je ni miziki gani zilivuma?
Bado sijajua kama miziki ya zamani kenya...
JEE HII INALETA MAANA KWELI ?MAKATO KIBAO KUNA WANANCHI KIBAO AMBAO WANAFAHAMU KITU KINACHOENDELEA HAPO TAIFA STADIUM,HEBU TUCHANGIE HAPA ILI TUPEANE MAWAZO.ASANTENI.:thinking:
Habari nilizozipata kutoka chanzo changu cha kuaminika sana zinasema Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea yanga. Ataichezea yanga baada ya mkataba wa mkopo simba kuisha.
Updates...
Wakati Barcelona wakipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Valladolid,mahasimu wao katika La Liga Real Madrid wamechezea kichapo cha 3-2 toka kwa Malaga. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Xavi,Messi91...
HII NI AKILI AU MATOPE......Wakati ADEL TAARABT wa morocco anasema hata kama QPR ipo kwenye hali mbaya ya kushuka daraja yeye akiitwa timu ya taifa atakwenda., PETER ODEMWINGIE analia kuachwa timu...
Football
VICTIM ... Zenit striker Hulk
Are you sure the World Cup should be in Russia, Blatter?
Zenit fans: Don't sign black or gay players
By MIKE McGRATH
Published: 18 hrs ago...
Habari za Alasiri wakuu?!
Natumaini baada ya kusherehekea ushindi wa Lema Asubuhi sasa tukutane kwenye uwanja wa Taifa Dar kesho majira kama haya kwa ajili ya kushuhudia Mechi kati ya Taifa Stars...
Siku zote nimesema janga la maendeleo ya klabu ya Simba ni Rage, lakini nimefuatilia na kugundua kuwa janga lingine ni huyu mtu anaitwa Kaburu. Gazeti la leo la Mwananchi lina stori za kujiondoa...
Kwa mujibu wa klabu yake thamani yake baada ya kusaini mkataba mpya utakao mfunga mpaka mwaka 2018 huku akivuna pound 17million kwa mwaka ni pound 312 million.
City na chelsea si mlikua...
Aliyekuwa kocha wa timu yetu ya soka ya taifa mzee Poulsen aling'aka siku moja na kuwaambia wazi waandishi wetu ni wachanga mno kwa masuala ya soka.
Juzi juzi rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.