Wazee wa Darajani (Chelsea) wapewa kichapo kutoka kwa Corinthians iliyokuwa chini ya kapteni Emersons. Bao la kichwa kutoka kwa Guerrero limetosha kuwamaliza wazee wa Darajani
Hongera sana...
Baada ya mchezaji Mrisho Ngassa kuingia mitini huku taarifa za kuaminika kutoka kwa vyanzo vilivyo karibu na mchezaji husika na klabu ya Yanga vikisema - Mrisho amekubali kimsingi kujiunga na...
Africa papers carry Mike Tyson 'sex change' spoofIn 1986 Tyson became the youngest heavyweight champion in history, aged 20
Continue reading the main storyRelated Stories
Mike Tyson swaps boxing...
Wakiwa wameanza kwa kusuasua,sasa AC Milan si wa kuwasogelea. Wakijivuta kutoka nafasi ya 14 ya msimamo wa Serie A hadi nafasi ya 7,Milan wanaonesha kuimarika siku baada ya siku. Jana,Milan...
Naomba la moyoni niliweke hapa,mzee hebu mpe huyu kijana nafasi na sisi tuone mabadiliko mlangoni,nakwambia hutajuta kwa sababu hatakuangusha wewe wala watanzania kwa ujumla,hili ni ombi tuu kwa...
Mzee Joseph Mwasokwa amezikwa kwao Kyela watu wengi wamehudhuria akiwemo R.O, mzee Apson,Mwakipesile,Mwambulukutu n.k hayati Mzee Mwasokwa pamoja na kufanya kazi idara ya usalama wa taifa pia...
Soka ni mchezo unao pwenda tanzania naweza sema kuliko mchezo mwingine wowote lakini bado mchezo huu wa soka hauwanufainshi vilabu wala wachezaji husika.
Mpira una historia ndefu sana...
CANNAVARO, CHOLLO, SELEMBE, AGGREY MORRIS NA MCHA VIALLI WAFUNGIWA KUCHEZA POPOTE DUNIANI
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro ni miongoni mwa wachezaji 16, waliofungiwa kwa muda...
Leo sijapata muda wa kupitia media za michezo lakin katika kupitia gazeti la the sun nimekutana na hii habari (CLICK)@ http://t.co/UVDnHi69 ebu nijuzeni.
Barcelona ikiwa uwanjani muda huu kucheza na Cordoba katika mchuano wa Copa del Rey,tayari Lionel Messi ameshafunga goli lake la 87 mwaka huu. Ni bao la dakika ya 11 ya mchezo.Mchezo huo uko...
Kitendo cha wachezaji wa Zanzibar Heroes iliyoshiriki michuano ya CECAFA huko Uganda na kushika nafasi ya tatu kugawana zawadi kiasi cha dolla 10000,bila kuishirikisha management ni kutokana na...
Baada ya kupokea kichapo,Mama mzazi wa Bondia maarufu Manny Pacquiao amedai kuwa kubadili dini kwa bondia huyo-toka ukatoliki hadi uprotestanti kumemponza.Soma hapa kwa king'eng'e:
Everyone has a...
Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani...
TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI YAREJEA KWA KISHINDO BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MICHUANO YA KIMATAIFA
Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi akiwa Mwenyekiti wa wake za viongozi, Germina Lukuvi mara...
ngoja nicheke kwanza!!..teh teh teh teh...safi sana mlichokifanya zanzibar heroes,mlikua abandoned sasa mmeng'aa na ushindi wa 3 na fedha juu hyo ni haki yenu na mgawane wnyewe kama...
Wanabodi Mambooooooz??
Aliyekuwa Mshambuliaji Mahiri wa Simba Mrisho Ngasa atakuwa akilipwa Mshahara wa Dola 4000 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 6 za kitanzania kila mwezi na Timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.