Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wanajamii forum, naomba msaada ni mechi gani katika historia ya mchezo huu wa mpira wa miguu ndani ya nchi yetu au nje ya nchi ambazo ziliwahi kurudiwa kutokana na makosa ya mwamuzi kufuatia moja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muhidin Ndolanga ni mchafuzi, aliharibu FAT sasa ameharibu uchaguzi DRFA na FRAT, hana uadilifu wa kuwa mwenyekit wa kamati yoyote ya uchaguzi ni mvunja sheria anafahamika na ni AIBU KUBWA KWA TFF...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa zamani wa Tottenham Hotspur,Harry Redknapp ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa QPR ilayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Uteuzi wake unaanza mara moja...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Mark Hughes has been sacked as manager of QPR - and Harry Redknapp has been appointed as his replacement. Hughes's assistant manager Mark Bowen will take Rangers, winless and rock-bottom of the...
0 Reactions
5 Replies
905 Views
mheshimiwa mzee rage amesema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye ligi round iijayo ,hii nimesoma kweye tanzania daima. Asante sana kusema hilo hapo kwenye mkutano ,kwa sababu wewe...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Mano Menezes ametimuliwa kazi mapema Ijumaa hii kufuatia kile kilichodaiwa kuwa ni muendelezo wa matokeo duni ya timu hiyo. Andres Sanchez, mkurugenzi wa timu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF nimesikia kupitia Channel 10 kuwa TRA wameamua kuifilisi akaunti ya TFF na sababu za msingi za wao kufanya hivyo ni TFF kushindwa kulipia gharama za makocha wa timu ya Taifa Kuanzia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama mchezi mliouzoea kupata matokea mazuri nje ya uwanja: 1.Mlimpa Mwakingwe rushua Kado akawaumbua 2.Mkawapa Miembeni kombe la Mapinduzi wakaachia,Bausi kalalamika kajiuzulu. 3.Mkampa Mwamanda...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kundi A Uganda Kenya Ethiopia South Sudan Kundi B Tanzania Sudan Burundi Somalia Kundi C Zanzibar Rwanda Malawi Eritrea
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The dismissal of Di Matteo follows the only real blip in results since he succeeded Andre Villas-Boas in February, with the club having won just two of their past eight matches. Chelsea say that...
0 Reactions
97 Replies
7K Views
mechi serengeti boys vs congo lib iliingiza sh 23m,cha ajabu kamati ya maandalizi imepewa sh 1m!inauma sana kwa vijana
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Mabingwa mara saba wa vilabu Barani Ulaya,AC Milan jana walipambana kiume ugenini Uswis na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Anderlech. Milan ilihitaji ushindi ili isonge mbele kwa hatua ya mtoano ya 16...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kocha wa Azam, Stewart Hall ametoa maelezo ya kuwa wachezaji wa Azam waliosimamishwa walikula rushwa kwenye mechi ya simba na pia mechi ya Yanga. Alisema kwa sasa hawataongeza mchezaji yeyote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilishindwa kuwaelewa Clouds FM kwa kuamua kukusanya kura za ama KUMKUBALI au KUMKATAA mheshimiwa L. Tenga wakati hoja NZITO ni kwa nini TFF haijatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu kama sheria...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
amechaguliwa kwa muda (appointed on interim basis) mpaka mwishoni mwa msimu. Hatua hii inafuatia baada ya kutimuliwa kwa Roberto Di Matteo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Juventus jana usiku...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Sixteen teams including Tanzania and Botswana have tentatively confirmed participation in this years edition of the Safaricom Sevens. Top seeds of course are Kenya followed by last years' runners...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The only real surprise is what took him so long. Why wait until November when he should have acted immediately after that night in Munich in May? Even as the glitter of victory fell from the...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
One of the funniest matches in football: Arsenal VS Spartak Moscow (1925) Fog was covering the pitch (White Hart lane), and it was too hard to see, impossible to play a match. But the ref...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
ukitaka kupata matatizo ya kushabikia basi shabikia chelsea, maana hawa watu sijui ni timu, mfano wa timu au ni wazee wa kutimua timua. ndani muda mfupi wanaatimua makocha sasa sijui Chelsea...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
kafuta matawi,kafukuza wanachama wa simba!tutegemee ugomvi mkubwa.source ITV habari
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom