Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Hivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi,kama kawaida yetu leo tutakuwa tukijuzana matokeo na matukio mbalimbali yatakayojiri uwanja wa taifa na vingine mikoani,Mzee wa Rula mimi nitakuwepo uwanja wa taifa live...
1 Reactions
194 Replies
15K Views
kama wale wazanzibari wanavyoomba waachwe wapumue, na mimi nawaomba yanga na uongozi wao waiache simba ipumueee, wametengeneza mgogoro wa wachezaji na pia wanazipanga timu zinazokutana na simba...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Barcelona's Lionel Messi scored his 75th and 76th goals of 2012 against Mallorca on Sunday to eclipse Pele's record for goals in a calendar year. Sixty-four of those were for Barca and 12 for...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu. Kama mnavyo jua kuwa leo kutakuwa na kabumbu kali kwenye uwanja wa mkwakwani kati ya wagosi wa kaya Coastal Union na Yanga ya Dar es salaam. Mechi ya leo itakuwa na ushindani wa hali ya...
1 Reactions
190 Replies
14K Views
Jamani nimepata taarifa muda mfupi uliopoita eti kwamba yule mchezaji hatari wa simba Emmanuel Okwi amekataa kuongeza mkata mwingine wa kuichezea Simba kutokana na mkataba wake kubakiza miezi sita...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Na makivic08 Mimi Mpenda maendeleo wa soka la Tanzania, na mwana harakati kunyenyua Soka letu, nina machache ya kuongea baada ya Raundi hii ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzanzia Bara. *...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari, wana jf mm binafsi naamin kuwa j kaseja anaua viwango vya makipa wengine waliopo msimbazi,kwan haiwezekan kipa ambaye kila mechi iwe maandalizi ya msimu,ligi,bonanza,mazoezini anadaka yy...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
By Mphamvu Daniel November 12, 2012 It was this evening when the World Cup Qualifier game between England and Poland was on. Despite the beautiful game,England's beautiful navy blue...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Guys!Tune Clouds Fm Sports Extra now,usikie Shafii anavyo ongea BROKEN ENGLISH.Aibu wakuu!Kama hawawezi wangetafuta mkalimani.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jana kwa masikio yangu wakati wa kipindi cha Uchambuzi wa Magazeti, nimemsikia mtangazaji John Thobias wa kipindi hiki akifanya kile nachokiita muendeleo wa kuibomoa fani ya habari. Katika namna...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba mnijuze,hivi mbuyu twite amepona?Nilisikia kuumia kwake but cjaweza jua atakaa nje kwa muda gan au la???Tafadhar nijuzen mwenzenu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Haya sasa wana Jf kwa taarifa za uhakika leo wanachama wa Simba wameandamana hadi makao makuu ya club hiyo wakiwa na mabamgo yenye ujumbe wa kumtaka Kaburu na nahodha wa Club hiyo Juma kaseja...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
1) toto yachochea moto msimbazi 2) msimbazi bado kwawaka motor 3) simba yaendeleza uteja kwa toto 4) simba apakatwa 5)....... 6).... 7).... ......
0 Reactions
21 Replies
3K Views
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania limeteua wadau 10 kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys itakayopambana na Congo (Brazaville) katika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu wanajamvi nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hili la sport beatting mashine zile za bahati nasim je umiliki wake ukoje na huwa kuna kuwa na vigezo au sheria zipi ili uweze kuimiliki. Na je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Coastal Union midfield kingpin reaps Sh56m from Albania club Send to a friend Friday, 09 November 2012 09:25 The Citizen Reporter Dar es...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
So I'm watching the OKC/Bulls game and Thabeet is doing his thing and he is got this orange patch in his hair. He goes down injured and while the announcers are discussing what is going on and...
0 Reactions
15 Replies
16K Views
tujulishen wachezaji walio itwa kilimanjaro stars
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom