Kwa wale walibaatika kuingia uwanja wa taifa na kukaa sehenu tofauti tofauti watakubaliana na mimi kwamba uwanja unaonekana mzuri lakini upo chini ya viwango kwa kiwango cha kutisha na kwamba...
Nimekua nikiifuatilia sana timu ya azam na nikafurahishwa na maendeleo yake ktk soka ya TZ lakini sasa mmelewa sifa na kuingiza siasa ya timu kubwa nchini ambazo kila kukcha ni migogoro. mbona...
Ni Vicent Wanyama wa Celtic ya Uskochi. Amefunga bao dakika ya 21. Hadi mapumziko Celtic wanaongoza kwa bao hilo. Tusubiri tuone mwisho wa mechi hii Barcelona wakiwa ugenini...
Leo, pamoja na kuwa na mechi nyingine katika viwanja vya Manungu na Mkwakwani, mechi inayovuta hisia za mashabiki wa soka ni ile ya Chamazi kati ya Azam FC na Oljoro JKT. Azam yenye point 21...
Taarifa za hivi punde zinadai kuwa Mchezaji Mrisho Ngassa ameamua kuachana na timu yake ya Simba na kurejea Dar es Salaam bada ya kuzozana na mmoja wa viongozi wa timu hiyo kutokana na kufungwa na...
ujumbe wa TTB ulipotembelea Uwanja wa Sunderland FC na kushuhudia mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya timu hiyo na timu ya Aston Villa uliofanyika siku ya jumamosi nchini Uingereza, Bodi ya...
Habari katika pepesa pepesa mitandaoni nimekutana na mashabiki wa Arsenal kule uingereza wakihimizana kufanya jambo litakalobadilisha mwelekeo wa timu yao
Only empty Emirates will teach Gazidis...
Kwa FITINA za SIMBA na YANGA katika soka la hapa nchi UBINGWA kwa Azam FC ni ndoto tu. Kama watachuwa basi wajiulize wapi zilipo Cosmopolitans, Mseto, Pamba na kadhalika zilizowahi kuchukuwa...
caf wametoa majina ya wazchezaji 10 ambaoo wanawania african player of the year,nani unahisi anafaa kuchukua hiyo tuzo na sababu gani
Alexandre Song, Cameroon
Andre Ayew, Ghana
Christopher...
Jamani wana jukwaa la jf hapa tupate matokeo kila dakika ya mchezo katika viwanja vyote hasa uwanja wa Taifa na kule morogoro wana jf mtakao bahatika kuona mechi ya Simba na Mtibwa live mtupe...
Arsenal's invincibles powered to just that figure before being toppled by Manchester United.
And now Juventus have lost to their Scudetto rivals Inter Milan after reaching the same amount of...
Kwa wapenda soka la bongo naamini huwa mnafuatilia mwenendo wa ligi ya vodacom, kwa matokeo ya leo kati ya simba na mtibwa najiuliza gogoro msimbazi linaepukika kweli? Hapa wachawi lazima...
habari wana jf
habari nilizozipata hivi punde kunauwezekano marefa wakagomea mechi zote za chelsea ligi kuu ya england sasa hapasijui itakuwaje
redio ya mkulima kutoka mkuu rombo
source bbc...
"Ronaldinho is blaming the referees for keeping him away from his first Brazilian league title" - Brazil: Ronaldinho blames ref for Atletico Mineiro-Flamengo draw - ESPN FC
Kumbe hata hajawahi...
Baada ya kupata ushauri mbalimbali kutoka kwa wana JF hatimaye tumeambatana na mama kwenda kwenye mpira leo.Tumeanza na gemu la Liverpool na Everton kwa kuwa sehemu nayoangalizia ni full makelele...
Leo jumatano usiku, Chelsea inakutana tena na Manchester united lakini sasa ni katika kombe la Ligi(Capital one cup zamani Carling cup).
Wadau popote mlipo tunaomba live updates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.