Kuna synonymity kati ya wanazi wa Arsenal na wale wa Simba. Wana kelele nyingi sana kwa mafanikio kiduchu!
Hadi leo hii tarehe 8 Sept, thread ya Simba imefikisha page 153 huku ile ya watani wao...
Nawasalimu Wana JF!
Kuna tetesi nimezipata kutoka kwa Wadau wakubwa wa Yanga ambao wanatofauti ya kimtazamo na Uongozi Mpya wa Yanga.Kumekuwa na Makundi ambayo chanzo chake ni Ma TYCOON walili...
Timu ya soka ya AZAM FC inaonyesha njia za kisasa kuendesha timu za soka Tanzania pia Afrika Mashariki na kuzipiku timu kongwe kama Young Africans (YANGA) au SIMBA au GOR MAHIA.
- Vision and...
Habari waungwana! Mjadala Mkuu Jumatano ya leo ni:
Je, uwekezaji katika soka Tanzania una tija? Rasilimali zinazowekezwa kwa maendeleo ya soka dhidi ya hali halisi ya vilabu vyetu. Karibuni...
JAMANI WAKE NA MA GIRLFRENDS KESHO MTANANGE WA SIMBA NA YANGA TUNAOMBA MTUPE NAFASI ZETU....TUTACHELEWA RUDI HOME TUPO BAR CHEKI GAME AU STADIUM KABISA. NO UNNECESSARY CALLS PLZZZZZZZZZZZZ...
His story was featured on citizen tv news today as the first african to ever compete in winter olympics. If you are wondering who i'm bragging about, it is philip boit. He may not have won any...
Usiku wa kuamkia jumapili majira ya saa 10 usiku mchezaji mwenzetu Ambrose Mwingira (ayoyi) amefariki dunia kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ayoyi alikua anaumwa malali jambo lillilopelekea kulazwa...
BARCLAYS CENTER
Barclays Center ni uwanja wa basket ball utakaotumiwa na Brooklyn Nets zamani New Jersey Nets, Timu hii hipo chini ya Jay Z na tajiri mwingine wa Russia Mikhail Prokhorov. Uwanja...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo,timu hizi leo zimeingia uwanjan pasipo kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamin wa Ligi kuu TANGANYIKA,,,,,
Ikumbukwe kuwa afrikan Lyon walikatazwa kuvaa jez za mdhamin...
Kocha Minziro leo amefanya mabadiliko kidogo sana kutoka katika kikosi kilichoishushia dhahma JKT Ruvu kwenye mchezo ambao Yanga walianza ligi rasmi.
Kwaufupi wachezaji walioanza leo ni:-
1...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Majimaji na Tanesco ya Songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumapili tarehe 30/10/2012. kwa mujibu wa familia Ambrose alikua anasumbuliwa...
Super Sport wametuwekea Live Simba -0 na Prison - 1 lkn tumeenda wapi? Fulham v/s ManCity? Au Everton -0 v/s soton -1 au au tupo Readings v/s NCastle muwe mnarudi nyumbani
MASHABIKI WALIOKIMBILIA MANCHESTER CITY JIANDAENI KWA HILI
Patrick Viera says Manchester City have put their big-spending days behind them and are now looking to develop their own...
Wahenga walisema mtu akishaumwa na nyoka akiona unyasi tu anashtuka,ndicho kilichotokea kwa beki mahiri wa kushoto wa Club bingwa ya Tanzania Bara Simba S.C na team ya Taifa ya Tanzania Taifa...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olympic Tanzania Mzee Erasto Zambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake ubungo kibangu DSM habari zaid simu...
klabu ya yanga usiku huu imempokea kocha wake mpya kutoka uholanzi ndg. Johannes Brandts (yule aliyefukuzwa APR). Lakini safari hii imekua tofauti na ilivyozoeleka, ujio wake umekuwa wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.