Habari zenu Wana JF....!
Leo sina mengi ila kuna jambo nimelisoma kwenye magazeti kadhaa ya Leo kwamba Kibopa mmoja wa Yanga ameandaa milioni 100 kama timu yao itamfunga Mnyama....Nikafikiria...
Tangu nimeanza kufatilia soka la bongo,mwaka 1990,sijawahi kusikia mchezaji kutoka yanga akishinikiza kwenda simba,bali nimeshuhudia wa simba wakingangania kuvaa uzi wa YANGA tena wakiwa kwenye...
Barcelona ilisubiri hadi dakika ya 53 kuanza kufuta mabao mawili ya Sevilla yaliyofungwa na Trochowski(dk 26) na Negredo(dk 51) na kuongeza moja. Hivyo,Barcelona wakaibuka na ushindi wa 3-2...
Tunaitaji vichwa vyenye akili kama hivi
michael richard wambura...labda mtajiuliza kwa nini nasema hivi soma vichekesho
kipindi cha michezo juzi alilizwa sheria zitakazotumika kupitisha wagombea...
SILVERADO, Calif. On the morning Grant Desme ceased to exist, he was at peace. He spent years searching for serenity, convinced it was coming soon, next, now. It never did. Life was a blaring...
Magoli ya John Boko "Adebayor" na ndugu wawili Kipre Herman Tchetche na Kipre Michael Bolou yameipa Azam ushindi wa 3-0 dhidi ya team ya JKT Ruvu na kushikilia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara...
WAKATI michezo mikongwe ya kihistoria ya Olimpiki iliyoasisiwa na wazee wa Kigiriki inatimiza karne moja na miaka 10, Tanzania ina miaka 44 katika ushiriki wake.
Lakini tangu Tanzania ianze...
NEW YORK (AP) -- Referee Gene Steratore turned on his microphone to greet the captains of the Cleveland Browns and Baltimore Ravens for the pre-game coin toss.
"Good evening, men," Steratore said...
Mabao mawili ya Shaarawy yalitosha kuipa ushindi wa pili AC Milan dhidi ya Cagliari. Ni ushindi wa pili wa msimu huu kwa mechi tano. Sasa Milan yashika nafasi ya kumi. Wakati huohuo,mshambuliaji...
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC imepigwa 1-0 na Berekum Chelsea kwa bao lililopigwa dakika ya 80 na Opoku.
Tukiwa tunajiandaa kwa mtanange kati ya Liverpool v Man U kwenye Barclays EPL siku ya jumapili keshokutwa tarehe 23 September kuanzia saa 9.30 alasiri, si vibaya tukafanya mapitio na kulinganisha...
Ndugu wanajamvi,
naomba kujuzwa kuhusu sheria za mpira wa wavu(volleyball).
Natumaini kupitia wana sport wa hapa JF mtanijulisha kwa ufasaha.
Natanguliza shukrani,.
1. Kizota - hili lilitokana na mkutano wa CCM wa Kizota ambapo Mwalimu Nyerere alikuwa anauliza maswali ya kebehi na kusubiri watu wajibu japo maswali yalikuwa yanajijibu; jina hili alipewa Said...
Ingawa inafananishwa na picha za kihindi lakini no sweti,JKT RUVU amekiona cha moto!
Bado simba na wajinga wajinga wenzie,tena hao simba ndio ninausongo nao balaa.
yanga wamemfukuza kocha Tom, hivi kitendo cha yanga kufungwa 3 na mtibwa ndo mumfukuze kocha?.mbona alivyowapa kagame mlimfurahia sana.haya sasa Manji kaanza na Tom,atafuata twite na yondani ajiandae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.