Katika utafiti mdogo uliofanywa na mimi mwenyewe leo asubuhi,nimegundua kwamba magazeti ya MICHEZO mengi hayauziki kabisa kwani kama ujuavyo MEDIA nyingi za bongo zinashabikia mno YANGA na jana...
Its first leg of round one of Europa League. Spurs, whose chance to play in Champions League was overtaken by Chelsea, takin on Lazio at White Hart Lane.
Join me for this encounter...
Talks of a new contract for Arsenal manager Arsene Wenger further assert the fact that he has the safest job in world football today. And until Arsenals second largest shareholder Alisher Usmanov...
HAYA KWA WALE WAPENZI WA FABO NINAWAPATIA UCHAMBUZI WA KINA WA MECHI. KONG'OLI HAPO CHINI UPATE DATA KAMALI YA JINSI YANGA ALIVYOBUGI.
trequatista | Wix.com
Wakati kesi dhidi yake ya kutaka kumhonga golikipa wa Mtibwa Sugar Shaban Kado ikiwa haijulikani majaaliwa yake,Ulimboka Mwakingwe amehusishwa tena katika sakata ya kumshawishi beki wa Yanga...
SIMBA SC itaiwakilisha Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani na kwa sasa inakabiliwa na jukumu kubwa la kutengeneza timu yake hadi kufika Januari wawe wamekamilika.
Pilika za kutosha na...
Katika hali ya kuonyesha wamejizatiti kuchukua ubingwa wa Ligi kuu bara bingwa wa A.MASHARIKI YANGA leo wameanza vizuri kwa kuchukua point moja dhidi ya timu ngumu(iliyopanda daraja msimu huu) ya...
Wakati Simba wako Sudan kucheza na Al Ahly Shandy. Katika kuwatoa mchezoni Simba Shandy walitumia fitna nyingi sana ikiwemo kuwalaza Simba katika hostel. Hali iliyopelekea Rage kulala reception...
Mabao mawili ya Messi,moja la Adriano na moja la David Villa yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 4-1 nyumbani kwa Getafe. Bao la Getafe ni la kujifunga la beki Javier Mascherano. Wakati...
Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na...
Kenya's Kayange to lead Bristol rugby team
By AYUMBA AYODI sayodi@ke.nationmedia.com
Posted Tuesday, September 11 2012 at 19:47
In Summary
The 30-year-old centre, who captained Kenya to...
Kama kuna mtu ameandika historia mbaya ya uongozi wa soka hapa nchini ni huyu bwana. Katika kipindi chake akiwa kama katibu ameshindwa kuwa thabiti na kusababisha migongano ya hapa na pale kati ya...
MWENYEKITI wa Simba SC, jana amekaririwa na vyombo vya habari nchini akimshutumu mtoto wa kigogo kimoja nchini kumshinikiza Rais wa APR ya Rwanda, Meja Alex Kagame ampeleke Yanga, beki Mbuyu...
Hivi kweli vilabu vyetu vinanufaika na style hii ya udhamini wa hawa wawekezaji kweli ndugu zangu..??? Menadhani faida wanayoipata Voda in return ni kubwa kuliko hili changa la macho zinalopigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.