Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wadau wa soka, kwa mujibu wa uelewa wangu, natambua tofauti ya nyuzi za longitudo 15 ni sawa na saa 1. Uingereza (nyuzi 0), tz (nyuzi 45 masharik) tofauti, inakuwa masaa ma3, kwa hiyo unategemea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The curtain raiser to the new season produced an enthralling contest. This was a game that was both entertaining and tactically interesting. Azam started the brighter of the two teams managing to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najiuliza siku zote sipati jibu, ni kwa nini wachezaji wetu hawapati soko katika ligi maarufu ulaya??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpaka muda huu klabu zote 14 za ligi kuu hazijapewa pesa za usafiri jezi nk. Kuna umuhimu gani wa ligi kuanza wakati hata mkataba wa udhamini haujasainiwa?? Je vodacom wataweka mabango yao ilhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I bet AVB atakua wa kwanza coz anaonekana hakujifunza kitu Chelsea.
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Leading story ukurasa wa mwisho wa michezo wa gazeti la leo la Nipashe imemchanachana Aden Rage vibaya sana!! Jisomee mwenyewe hapa chini...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Michel platini akizungumza kwenye mkutano wa vilabu vya ulaya alhamisi iliyopita huko switzeland Football: Uefa hands out...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa style hii ya uendeshaji wa soka bongo maendeleo kupatikana sijui ni lini? Sheria zipo lakini timu zinaambiwa wakajadiliane nje ya pannel manake nini afu wanashindwa fika muafaka kitu kula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMATI ya Utendaji ya Simba SC inatarajiwa kukutana kesho katika kikao cha dharula, kupanga tarahe ya Mkutano Mkuu kwa lengo la kuomba Baraka za wachama wake kujitoa kwenye Ligi Kuu ya Vodacom...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
by JOHN BUKUKU on SEPTEMBER 11, 2012 in MICHEZO with NO COMMENTS Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana jana (Septemba 10 mwaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilitegemea kuja kwa azam ndio utakua mwisho wa moja ya club kongwe simba au yanga. Nilichokuja kugundua azam ni wasanii na wamekuja kuigiza kutokana na maigizo waliyotufanyia leo na kupigwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu bado zipo vyumbani muda wowote mtanange utaanza Kila la kheri watani zetu
0 Reactions
96 Replies
11K Views
RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA 2012/2013 NO DATE No. HOME TEAM AWAY TEAM STADIUM VENUE...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natak nikacheki mtanange. Unaanza saa ngapi?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi maudhui ya hiyo mechi yanasadifu jina lenyewe au ndo tumekopi na kupesti jina tu kutoka kwa wenzetu wa ligi kuu uingereza? nauliza tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tff imeamua hivyo ndugu.Na pia yanga imepewa siku 29 kurudisha pesa za simba.Ha ha ha ha haa! Mtajibeba na Rage wenua-soarce clouds
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Serena Williams won the U.S. Open by downing Victoria Azarenka 6-2, 2-6, 7-5The victory is Serena's fourth U.S. Open championship and 15th Grand Slam titleWilliams is now 26-1 since losing in the...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
ni tv iliyokuwa ndani ya tv ya clouds,ilizinduliwa kwa mbwembwe nyingi,Mawaziri na watu wenye heshima zao walishiriki kuizindua ,tena kwa vinywaji na pilau ya kutosha,wakadai wao ndo wa kwanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa mpenzi na shabiki muda mrefu sana sasa nataka niwe mwanachama. Natakiwa kufanyaje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna hii tabia ya vyombo vya habari vya hapa nyumbani kupenda kuikweza Simba inapokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi. Utasikia watangazaji wanavyoipamba na magazeti yanavyoiandika vizuri na...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom