Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kwanza naliona kama vile linagundu, za naidi ya hapo..haliwakilishi utaifa wetu..historia ya taifa latu inauhusiano gani na nyota?? nani alifikia uamuzi wa kuipa timu yetu jina la taifa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nasema kocha Macio Maxicimo unanifurahisha sana yani kumbe hata uwezo wako ulikuwa wachini??kwenu nikocha waligi daraja la pili??!!Ukaja hapa ukawa kocha wa timu ya Taifa la Tanzania ukilipwa...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi wa mpira na wenye bandwidth nzuri tafadhali tembelea link zifuatazo ili kuangalia mechi hii kati ya Portugal na Spain Live kwenye PC yako. Portugal VS Spain Portugal VS Spain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arsenal ya Argentina Imeshinda Kombe lao la Kwanza la Ligi Huko Argentina baada kumfunga Belgrano 1-0 katika Kombe la Clausura. Tehtehteh Wacha1 sio Arsenal yako bwana.
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Nilikasikia kamgogoro kwnye ishu ya Timu ya taifa kuelekea olimpiki !! Vp kameishia wp !! Timu imejianda ?? Kama bado nn haswa tatizo ? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Jamani naombeni msaada ni maeneo gani naweza kupata jez za ukweli hapa Dar nimekuwa natafuta jez zenye quality lakin czipati mfano nahtaj jez ya simba taifa stars en Manchester united nisaidien jamen
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Japokuwa giza kwa sasa hapa Uk huingia around saa nne usiku leo jamaa wamelala mapema sana. Walikuwa na matumaini makubwa sana. Simply they were outnumbered and were lucky to reach penalties.
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Kagawa amefunguka nakusema haitaki jezi namba saba,anaitka jezi namba 8,26 au 29,je huku ni kukimbia presha ya mashabiki kutokana na kuvaaa popular jezi haf kutoitendea haki jezi hiyo??.historia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Arsenal - New Era at the Emirates     Arsenal's 2003-04 side unbeaten     The Emirates Stadium aerial view Arsene Wenger at Highbury...
5 Reactions
1K Replies
149K Views
Bila shaka deal la Maximo limeshaota mbawa,whether ni kwasababu ya yanayosemwa kuhusu e-mail za wasiolitakia mema soka la Tanzania(mana'ke kwa kiasi kikubwa Yanga ndo Tanzania) au ni ksbb ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mechi ya kirafiki baina ya timu ya Toto ya jijjini Mwanza na mabingwa wa Tanzania bara Simba sports club ya jijini Dar es Salaam inaendelea hivi sasa katika uwanja wa CCM Kirumba na hadi naandika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, je kuna haja/ulazima wa kuweka "fourth official" katika mpira ilihali atashindwa kutambua goli limeingia au la na yeye yuko karibu kabisa na goli? imenisikitisha sana kuona UKRAINE wameaga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya olympic trials live ntv and ktn.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wenzetu kule Afrika Magharibi na kwingineko,wenzetu huwa wanadanganya ili waweze kwenda kucheza Ulaya. Lakini hawa wa kwetu ya nini kudanganya umri wakati wanaishia hapa hapa Ligi ya Bongo?Mfano...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi Mr. Shaffih, JUzi usiku nilikuwa nasikiliza kipindi chenu cha Michezo Sports Extra na Sports Bar, vilivyorushwa kwa wakati mmoja kupitia Clouds Fm na Clouds Tv. Nilisikiliza kipande ambacho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Position Team Played Goal Difference Points 1 Arsenal 0 0 0 2 Aston Villa 0 0 0 3 Chelsea 0 0...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CHELSEA Tanzania leo imewatangaza wasanii watakaopamba sherehe za ubingwa zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Msasani Beach Club Jumapili hii. Mbali na michezo itakayozikutanisha Chelsea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
vory Coast striker Didier Drogba has signed for Chinese Super League club Shanghai Shenhua, the player said on his website on Wednesday. Drogba, who chose not to renew his contract with Chelsea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha Arsenal wenga ametangaza rasmi kuwa R. vanpac na walcot wanauzwa .Poleni sana wazee wa presha a.k.a wazee wa subira!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania kila sekta siasa,mtu anakuwa mwanamichezo bora kwa kucheza vizuri mechi 2...nimewadhara waandishi wa tz kwa kufanya huo utumbo
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom