Hii timu naifananisha na chadema make kasi ya chadema kupokea wanachama wapya kwenye ngome ya ccm kusini, ni sawa na kasi ya yanga inavobomoa mgome ya mpinzani simba,. Karibu peponi yondani na...
FULL-TIME Tanzania 2-1 The GambiaTanzania move into second place behind Ivory Coast in Group C thanks to this win.
Group C after two matches:
Ivory Coast 4 pts nafasi ya Taifa stars*...
Mchezaji Kelvin Yondani akisaini mkataba wa usajili mbele ya kiongozi wa Yanga Seif Ahmed usiku huu, katika picha hii Yondani anaonekana akiwa amevaa fulana na timu ya taifa ambazo zimeanza...
Kuna tetesi zimeshaanza kuenea hapa town kwamba SIMBA kitu kinagonga sasa wanampango wa kuiondoa timu kwenye michuano ya KAGAME CUP,pendekezo hilo limetolewa na mwt wa simba Aden Rage jana kwenye...
.
Huo ndio mkataba wa Yondani alionguka wakati anaichezea Simba mnamo mwaka jana.....Na huku madeni ya maharage akionesha picha iliyotolewa na baadhi ya mitandao ya kwamba Yanga wamemsainisha...
Huyu jamaa baada ya kutoka yanga sasa kwenda kukipiga kenya timu ya Gor Mahia more click here BAADA YA KUONDOKA YANGA, HAPA NDIPO ALIPOKWENDA SHEDRACK NSAJIGWA. « Millard Ayo
Ukichoka na kuchokwa staafu. Huu ni ushauri wa bure kwa zilipendwa Ronaldinho anayezidi kushuka thamani. Tundika daluga!
Ronaldinho unveiled at Atletico Mineiro - ESPN Soccernet
Atletico...
Sol Campbell: Rio Ferdinand should have had chance to turn England down
I for one never bought the argument that Rio Ferdinand had been left out of the original squad for 'footballing reasons'...
"Manchester United have agreed a £3million deal to sign teenage Chilean striker Angelo Henriquez. Boss Sir Alex Ferguson has sorted out a swoop for the 18-year-old Universidad de Chile sensation...
Sasa rasmi, Yusuph Manji ametajwa na kamati ya uchaguzi kuwa mgombea mmojawapo wa uenyekiti kwenye club ya Yanga kwenye uchaguzi wa marudio,wenye wivu mtajinyonga sana tu kwani YANGA itakuwa...
Nimekuwa mfuatiliaji wa soka la kibongo na kimataifa kwa miaka ya kutosha, kuna wachezaji wengi sana wenye uwezo wa juu mno nimeshawaona, ila leo hii nimemkumbuka huyu holding midfielder, binafsi...
Huyu jamaa Pele alidai ni Mkali kuliko Lionel Messi! Hakuna ukweli wowote! Messi hutesa sana defense Nyingi isipokuwa Chelsea. Neymar hana lolote namwangalia hapa kwenye mechi na Mexico anaanguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.