Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich...
...zinazoshinda tu (timu "yako" ikivurunda unahama), nin taarifa kwenu. West Ham United wamerudi premier league baada ya kushinda play-off final. Mechi imekwisha dakika chache zilizopita.
Miaka saba vana persie amekaa arsenal hamna kitu bora usepe ,halafu kuna yule loser mwingine Fabegras kakimbia Arsenal kahamishia mkosi Barca ,Gary cahil miezi sita tu FA CUP na CHAMPION...
Wakuu muu hali gani? Hivi yule mchambuzi machachari wa soka hapa Tz aliyekuwa akitumiwa sana na channel 10 ktk michuano hasa ya UEFA alienda wapi maana sijamwona wala kumsikia siku za karibu yuko...
Sijui ni mimi peke yangu ninaeshangaa
inakuwaje club kubwa kama simba na yanga
unakuta wachezaji wanatibiwa mwananyama hospitali
wanaishi keko ....
na wengine wa kutoka nje wanaishi mahoteli ya...
Wao wanacho waza ni kukata umeme kila mechi pendwa zinapocheza. Matengenezo gani ya usiku tena siku ya mechi chama kubwa chelsea....????.
Niwalambe nisiwalambe?
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi...
2011/2012 has bin 1 of the most topsy turvy season i hav bin witness. Being an Arsenal fan is nt easy. It is an extremely hard choice 2 make and certainly nt one 4 the faint hearted while we had 2...
Inawezekana kuna watu hawajajua bado kuwa hakuna hata klabu moja ya Sudan iliyowahi kupata ushindi kwa Simba. Kama nimekosea, aje mtu anisahihishe hapa. Hata mwaka ule El-Mereikh walipovunja...
Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa. Hili ni jinamizi linalotumaliza katika nchi yetu.
Tenda ya kutafuta kocha mpya mbona haijatangazwa then...
Niliahidi kuwaletea tathmini ya fainali tatu kali zaidi nilizowahi kuzishuhudia live za UCL kabla ya fainali ya mwaka huu May 19. Hapa naziandika kwa kifupi mno na pia kama kawaida sijazipanga kwa...
Waandishi wa habari za michezo wa bongo ni kikwazo kimojawapo cha maendeleo ya michezo Tz.Ingawa siukubali utawala wa nchunga,nimeshanga wanavotoa airtime kwa ajili ya mipasho ya wazee wa...
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang ,na hawakuipenda yanga kwa...
NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA NDUGU ZANGU MNAOKULA KIYOYOZI PALE KARUME(TFF) KWAMBA MASHABIKI TUMECHOKA SOKA LA KUSIMULIWA NA KINA BWIGANE REDIONI TOKEA ENZI NA ENZI!! UMAARUFU WA LIGI HUPATIKANA KWA...
nauliza je CHELSEA watapata kucheza uefa hata kama hawatachukua kombe? yaani na maanisha finalist anaweza kucheza uefa atakama aja shika nafasi nzuri kwenye ligi yake
Kama kuna kitu kimeniuma ni matokeo waliyovuna Yanga katika mechi ya leo dhidi ya Simba,hivi kweli huyu anayeitwa Loyd Nchunga huko alipo anajisikiaje baada ya timu chini ya uongozi wake kutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.